But Libyan authorities insisted there had been "no attack whatsoever" on rebel forces in the city.
Spiral ... plane appeared to be shot from ground
Eject ... pilot bails stricken jet
Plummet ... flaming fighter jet seconds from impact
Blast ... huge fireball erupts as plane smashes into ground
Na mtu anayeua wenzake kwa kisingizio chochote kile hata kama ni wazungu dawa yake ni kipigo cha mbwa mwitu Gaddafi atajuta.AU wamejidhalilisha kwa lipi? alichokuwa anafanya Gaddafi ni kulinda uhuru na heshima ya nchi yake, hao unaowaita wapinzani sio zaidi ya waasi; kama mtu anabeba silaha kwa ajili ya kuitoa madarakani serekali dawa yake ni kipigo kwa kutumia silaha kama anazotumia yeye. Gaddafi alikuwa hauwi raia wa Libya alikuwa anauwa waasi Uingereza, Marekani na Ufaransa wao ndio wanauwa raia kwa mashambulizi yao. Dunia siku zote imekuwa ikipinga kuchukuliwa serekali kwa mapinduzi ya silaha inashangaza leo hii wanabariki Libya kufanyiwa hivyo! Na sisi wengine tunashangilia "kama mazuzu"
Acha akomeshwe
...Mpaka sasa hivi usomapo meseji hii amekomeshwa nini zaidi ya waLibya zaidi ya 40 wasio na hatia kuuawa mbali na miundo mbinu kuharibiwa na makombora ya majambazi wa kimataifa wanaojiita Polisi wa Dunia?????
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi
Tatizo sio kukomeshwa,hapa bado raia watauwawa wengi zaidi,kumbuka ya iraq,
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi
wamarekani wahuni tu, washenzi na wavamizi na wenye kuingilia mambo ya ndani ya nchi za wengine
kwa kweli nnasikitika sana kwa yanayotokea na jinsi ambavyo yanaendeshwa. yaani dhuluma ilio wazi kuna nchi zina matatizo zaidi ya libya mbona hamjavamia
wamerekani mbwa washenzi na wafuasi wao