Sawa mkuuUkipata hiyo bluu kaa Nayo dk kadhaa, then niambie chukua time watcher
Dah mkuu Nimeipata Nipe stage ya pili sasaUkipata hiyo bluu kaa Nayo dk kadhaa, then niambie chukua time watcher
Dakika 6 hadi 7Unaiona kwa dk ngapi?
Chukua hata kifuniko chekundu, unaweka juu ya karatasi unakiangalia hadi umudu kuona rangi ya bluu ina vapour pembezoni mwake,In short nimekufuatilia ila nahisi kichwa changu kigumu yani sijaelewa karatasi karata. Sijaelewa kio na mm naanzaje 7bu umeelezea vitu vitu. Naomba japo picha hata za kuchoro jinsi ya kujiangalia mm mwenyewe na maelezo rahisi inbox ili niwe mwanafunzi wako
Mkuu mimi nishaona vitu vya blue viki chomoza pembezoni mwa karata katika ile michoro ya kisu ndio nahitaji kujua muendelezo hapo niupiChukua hata kifuniko chekundu, unaweka juu ya karatasi unakiangalia hadi umudu kuona rangi ya bluu ina vapour pembezoni mwake,
Rakims
nikisha vipata mkuu nafanyaje tenaTafuta plain paper nyeupe na kalamu kwanza,
sawaUkipata utanambia
Nishapata mkuuuu.Ok, ntasubiri