AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

In short nimekufuatilia ila nahisi kichwa changu kigumu yani sijaelewa karatasi karata. Sijaelewa kio na mm naanzaje 7bu umeelezea vitu vitu. Naomba japo picha hata za kuchoro jinsi ya kujiangalia mm mwenyewe na maelezo rahisi inbox ili niwe mwanafunzi wako
 
Chukua hata kifuniko chekundu, unaweka juu ya karatasi unakiangalia hadi umudu kuona rangi ya bluu ina vapour pembezoni mwake,

Rakims
 
Mkuu mimi nishaona vitu vya blue viki chomoza pembezoni mwa karata katika ile michoro ya kisu ndio nahitaji kujua muendelezo hapo niupi
 
Badilisha rangi weka rangi nyeusi uniambie umeona rangi gani ikichomoza,
 
Daaaah nimesoma hii thread kama mara tatu hivi ila nimeshindwa nianzie wapi nipen ujuzi nianzie wapi maana nataman sana ila nashindwa pakuanzia........
 
Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom