Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Duh hii ID ya Tuntemekesanga imefufuka, si ndio hii ilikuwa inatumiwa na vijana wa Zito kuvuruga CDM, akina J.Shonza, Mwambamba nkBinafsi siwashangai baadh ya wabunge wa Upinzani(hususan Chadema). Wamekuwa wakitafuta "cheap popularity" bila kujua huku mtaani wanatukera na tunawaona wapumbafu sana.
Mfano mdogo tu; Kwenye kikao kichopota cha Bunge, T.Lissu alisimamisha mjadala wa maana mle bungeni nakutoa taarifa yakiudaku nayakipuuzi saa kwamba, "TBC1 IMEZIMA MATANGAZO YOTE ILI WATANZANIA WASISIKIE MJADALA HUU".
Yaani Lissu aliniharibia tension vibaya sana. Nilikuwa Morogoro mjini siku hiyo nikifuatilia hoja ile live kwenye bar moja ivi kupitia TBC1. Yaani tuliguna wote kwa hasira.
Namshukuru Nkamia alikuja jion yake kumpa vidonge vyake.
Ni tatizo mno hawa watu.
Mkuu hakuwa peke yake walikuwa kundi mpaka wanamuziki kama Madee walialikwa .
Mambo ya facebook utapelekaje bungeni? Angalia sasa mbunge mzima anashushuliwa ktk vyombo vya habari na bongo movies!! Shame...
Tena sio Madee ni Kassim MgangaMbona alitajwa wakati anahojiwa Leo tena
Mbona alitajwa wakati anahojiwa Leo tena
Aunt Ezekiel anatakiwa kumpuuza Lema maana Lema ni mropokaji ana julikana kabisa! Kwanza Aunt Ezekiel ana akili sana kumzidi Lema! Ni bora wana Arusha wangempa ubunge Aunt Ezekiel kuliko Lema!
Lema ni mropokaji na hakuwai kuongea point muhimu bungeni!
Nikisoma post za wengi humu nabakia kushangaa. Je si kweli Waziri alienda na huyo kimada USA kwa gharama zetu? Hiyi picha hapo juu ilikuwa Ubungo ?
Sasa na huyo hawara anabwabwaja nini. Au tulete proof wakiwa kitandani. Acheni hizo ... Spade iitwe spade sio kijiko kikubwa
Nikisoma post za wengi humu nabakia kushangaa. Je si kweli Waziri alienda na huyo kimada USA kwa gharama zetu? Hiyi picha hapo juu ilikuwa Ubungo ?
Sasa na huyo hawara anabwabwaja nini. Au tulete proof wakiwa kitandani. Acheni hizo ... Spade iitwe spade sio kijiko kikubwa
Why don't you write in Swahili or your venacular?You have to be careful with types of popularities. One can be popular for a foolish and bustard issues. Lema suits that type of popularities.
You can at least defend Lissu(though most of the times he has been more exaggerating & and very shallow) to the extent of boring!
Nasikia Chadema wakichukua nchi Lema atakuwa Waziri Elimu..teh teh