20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Habari wanajamvi,
Kama masaa mawili yaliyo kulikuwa na timbwili kati ya mshikaji mmoja na mkewe. Mshikaji wangu kitambo tulijuana katika harakati za kutafuta maisha, katika harakati za pale tukajikuta tumepangwa bogi moja zamani, urafiki ukajengeka tukawa kama brothers, mkewe ninafahamian na kutaniana pia.
Sasa jamaa anamdogo wake anamfanyia michakato ampeleke JKT so jamaa akatumia kigezo hiko kutoka tangu asubuhi akajipumzishe na mchepuko wake, mkewe ana mimba changa mara amtukane jamaa mara hataki kumuona, mara ana nuka. Mshkaji akaenda kujipumzsha chemba.
Sasa jamaa kachelewa kurudi, tangu asubuhi na hakwenda akiwa kavaa nguo za kazi. Jamaa kurudi tu, mke kahisi huyu katoka kula mzigo, akawa anamlia timing, jamaa kwenda room ajipange kuoga mke kaona jamaa nywele za sehenu ya siri zimenyolewa safi kabisa wakati ameondoka fulu kichaka.
So mkewe maswali yakaanza umenyolewa na nani!? Jamaa nimenyoa mwenywe umeondoka hapa una fulu kichaka haya nambie umeenda kunyolea wapi na kwanini ? Hili swali likawa gumu kwa jamaaa, timbwili likaanza. Kumbe jamaa alipata mchepuko mpya, tena mchepuko unajua kuhudumia mwanaume hatari jamaa alipigwa maandalizi ikiwemo kutolewa nywele za ufukweni, hili limempa balaa.
Kuwa smart