Aulizwa aliponyolea nywele za siri

Aulizwa aliponyolea nywele za siri

Mwanaume asichukulie uhasama au kukomoana !! Mkewe anambimba hivo hiyo mimba inampelekesha !! hilo nijambo la kawaida litapita baada ya kujifunguwa!!

Hatar sana hii,kitu. Sometimes anamkomalia waende wote kwenye mizunguko yake. Jamaa akija kijiweni tu, dk mbili anataka arudishwe home..hatari sana
 
Hatar sana hii,kitu. Sometimes anamkomalia waende wote kwenye mizunguko yake. Jamaa akija kijiweni tu, dk mbili anataka arudishwe home..hatari sana
Sasa Mkuu kama ulivyojinasibu kuwa ni mshikaji wako na as Brother !! na kuwa shemu ni mtaani wako !! hapo upo wewe unakubalika pande zote!!! Hivyo unapaswa uchukuwe jukumu la kumtetea kakako, na ulitulize twimbili kimaarifa...!!
 
Huyo mke ni nouma,amekariri hadi jamaa aliondoka na msitu
 
Walah nimejikuta nacheka pekee yang yaan hz ndoa kwel shughuli
 
Eti nilipitia saloon duh..utetezi fake sana huu..sijui hata udanganye vipi ueleweke hapo..labda angekomaa tu na kusema na yeye mwenyewe hajui zimeondokaje..angekuwa wa kwanza kutenda miujiza.,
 
Kama yeye alijua anakomoa na kususa, wengine wamefanya kweli.
 
Eti nilipitia saloon duh..utetezi fake sana huu..sijui hata udanganye vipi ueleweke hapo..labda angekomaa tu na kusema na yeye mwenyewe hajui zimeondokaje..angekuwa wa kwanza kutenda miujiza.,

Jamaaa alitakiwa naye ashtuke, hajifanye haelewi kabisa, atleast may be.
 
Hizi ndoa jamani hizi ndoa yaani kunyoa mavuzi imekuwa nongwa jamani!!!!!
 
Siku hizi kuchepuka ni kitu cha kawaida sana. Na watu mmehalalisha iwe hivyo.
 
Duh huyi.mgeni wa kuchepuka. Hadi ananyolewa. Mwambie apitie zile thread za jinsi ya kuchepuka
 
Huyo jamaa naye kachemka sana. Ilitakiwa anyoe asubuhi wakati anaenda kuoga, ili akitoka bafuni mwanamke ajue kabisa, then unaaga zako
 
Huyo mke ni nouma,amekariri hadi jamaa aliondoka na msitu
Huwajui wanawake ww! wanakrem mpaka kifungo cha shati cha juu kama umezoea kukifunga siku umerudi hme umekifungua unaweza kuanzisha vita visivyo rasmi.
 
.............................................
 
Back
Top Bottom