Ni ipi nguvu ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,220
Reaction score
102,333
Othman Masoud Othman, aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akiwa ametoka ACT Wazalendo?

Anaweza kuagiza au aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM?

Au ni stooges tu, yupo kwa ajili ya kupata ving’ora na mihela?
 
Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?

Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
OMO ni makamu wa kwanza wa wa Rais wa Zanzibari katika serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.

In fact ni kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake tu ndio yamemchelewesha kushika wadhifa huo, akidhani wananchi wa Zanzibari wanaweza kumkataa Rais Hussein na kumfuata yeye.

Kiujumla,
hana nguvu wala ushawishi wowote ule wa kisiasa au kiuchumi, ndani au nje ya ACT- wazalendo. Ni mwanasiasa wa kawaida sana Tanzania 🐒
 
Ni cheo ceremonial. Ni sawa na mke wa boss, lakini ni mama wa nyumbani tu.
 
Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?

Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Viongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.

P
 
mwinyi wakati anaunda wizara alisema kaacha wizara 3 au 4 kwa act wazalendo ikiwa ni namna ya kushirikiana pamoja kwenye serikali hiyo ya kiumoja ya kizanzibar

nukuu kutoka gazetini.co.tz
Aidha amesema kuwa nafasi za Wizara nne zikiwemo Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Afya, Utalii na Mambo ya Kale, pamoja na Biashara na Maendeleo ya Viwanda , zitaachwa wazi kwa muda hadi Serikali ikamilishe makubaliano na Chama cha ACT Wazalendo katika kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
 
Kunakuwaga na changamoto zipi zinazo chelewesha kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ?
Inakuwaje kila upoisha uchaguzi serikali ya SUK inachukua muda mrefu kuundwa au kuna kudeka na kudekezana?
 
OMO ni makamu wa kwanza wa wa Rais wa Zanzibari katika serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.

In fact ni kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake tu ndio yamemchelewesha kushika wadhifa huo, akidhani wananchi wa Zanzibari wanaweza kumkataa Rais Hussein na kumfuata yeye.

Kiujumla,
hana nguvu wala ushawishi wowote ule wa kisiasa au kiuchumi, ndani au nje ya ACT- wazalendo. Ni mwanasiasa wa kawaida sana Tanzania 🐒
Kikatiba majukumu yake ni yepi? Kuna mtu kasema kula mshahara
 
Viongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.

P
very sad indeed! asante kwa elimu. Kwahiyo zanzibar hakuna upinzani, ingawa ACT from the very of its inception was not a real upinzani!
 
Back
Top Bottom