Kwann anachpata huyu wa huku asianzishe mradi unajua kadri umri unavyozidi kwenda sauti inabadilika ulivyokua unaimba wakatu unamiaka 25 huezi ukiwa na miaka40 au 50Nje weng wanakua na shughuli wanafanya apart from muziki,so hata akistaafu anaweza kusurvive maana hategemei mziki pekee tofauti na hapa kwetu so inabd mtu akomae had mwisho maana akiacha tu analala njaa
Sauti na manjonjo nayo yanapungua. Bado tuna safar ndefuKwann anachpata huyu wa huku asianzishe mradi unajua kadri umri unavyozidi kwenda sauti inabadilika ulivyokua unaimba wakatu unamiaka 25 huezi ukiwa na miaka40 au 50
Labda uwe late bloomer
Ndo maana abroad kuna radio znachukua watangazaji from 20_40 au 21_35 sisi tunahangaika na wazee wa miaka50
Breezy mtu mwingine kabisa.Gold slugs DJ Khaled ft Chris Brown ft August Alsina ,fetty Wap Alsina kaua ila hawezi mfikia Christopher Maurice Brown . . ...Akae Ten thousand feet away na mwamba
Sisi sijui tunafeli wapi
Usimseme sam smithwazungu unaweza ukamkubaliii badae unakuja gundua ni li shoga limeolewa
limenyimwa na mume wake kuimba imba,ukute mume kasema kuanzia leo wewe kazi yako ni 1
kuimba achia wengine,hapo ndio wazungu wanaponizingua...
Huyu jamaaa siwezi msahau maana nilishakua na mpenzi wangu anampenda huyu kiumbe hadi Nikawa naona wivu.
hawa watu mimi nikiona wamepotea nakausha kimyaa,nsije fukunyua nijue alipo nikute lipo huko linajibebishaUsimseme sam smithmpuuzi kabadilika mpaka anakera ss
Wanamziki wengi huko duniani wakiwa kwenye mahusiano kutoa kazi inakuaga nadra sanahawa watu mimi nikiona wamepotea nakausha kimyaa,nsije fukunyua nijue alipo nikute lipo huko linajibebisha
chezea mahaba wewe 😂Wanamziki wengi huko duniani wakiwa kwenye mahusiano kutoa kazi inakuaga nadra sana
Alsina nomaawazungu unaweza ukamkubaliii badae unakuja gundua ni li shoga limeolewa
limenyimwa na mume wake kuimba imba,ukute mume kasema kuanzia leo wewe kazi yako ni 1
kuimba achia wengine,hapo ndio wazungu wanaponizingua...
Huyu jamaaa siwezi msahau maana nilishakua na mpenzi wangu anampenda huyu kiumbe hadi Nikawa naona wivu.
Hizi ni tabia za kishambaUnamjua The Weeknd?
Are you speaking about Trey Songz??Mm namkubali kwenye heart attack
Huyu mwingereza kumbe anapakuliwa??Usimseme sam smithmpuuzi kabadilika mpaka anakera ss
Vibaya mno yani kabadilisha mpaka muonekano kawa shoga kabisa nilihisi atajiacha vile alivyo tafuta hiiiHuyu mwingereza kumbe anapakuliwa??
sema dah...August Alsina asistaafu game....jamaa anajua Sana...Ile Ghetto naikubali Sana...uki+ na benediction na hip hop dahWale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu
Bado anaumwa sjui kama miguuu imepona tayar naona update zake.sema dah...August Alsina asistaafu game....jamaa anajua Sana...Ile Ghetto naikubali Sana...uki+ na benediction na hip hop dah
We matusi hayoNilisikia anaumwa jamaa....
Hizi zake nazikubali sana
benediction ft Rick ross
no love ft nick minaj
ila chris alikalishwa kwenye do you mind ya dj khaleed