Uhasibu halmashauri utakua unafokewa tu na mabossNataka kuomba moja ya nafasi kati ya hizo mbili.
Je ni ipi ina ulaji na magumashi mengi pamoja na masafari mengi na trainings huko halmashauri?
😂 mwe! Maisha hayaUhasibu halmashauri utakua unafokewa tu na maboss
Unaongelea wahasibu wa halimashauri gani!? Hivi huoni report za CAG?Hizo idara zote njaa tu.
Huwa naona angalau watu wa maendeleo ya jamii ndio wana hela.masemina kwao huwa hayaishi.
Pia watu wa manunuzi wanapata pesa za hapa na pale.
Ila hao wahasibu na auditors ni njaa tu kwa kweli kwa upande wa halmashauri.