Fafanua uelewekeWanabodi,
Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa vi-inzi vya humu havijaleta vitu humu.
Anybody...
Sasa wewe ndo umekua wa kwanza kujua yamkini,tena unasema unashangaa hbr haijaletwa humu,inaletwa na nani sasa badala ya wewe mwenyewe kutupa hyo habari?Wanabodi,
Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu
Anybody...
Huyu ndio JPM kila.jiwe litasogezwa!Wakuu mimi ninachojua na nina uhakika ni kuwa auditord from the .Gov wametinga huko, sina details. Najua huku kuna inzi wanajua kunusa...
Take it from me, hii siyo tetesi ni kweliii...
Nyunyu JPM hana undugu na mtu,atatumbua watu huko soon!Wanabodi,
Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu
Anybody...
Mi nilikua kijijini, Auditing hiyo inahusu nn sasa mkuu na migodi gani itaguswa?Wanabodi,
Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu
Anybody...
Acha utoto,kila siku auditing za migodi zinafanyika. Usipende kuongea vitu usivyovijuaWakuu mimi ninachojua na nina uhakika ni kuwa auditord from the .Gov wametinga huko, sina details. Najua huku kuna inzi wanajua kunusa...
Take it from me, hii siyo tetesi ni kweliii...
Kaka achana na huyo mtoto, anaongea vitu asivyovijua.Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.
JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
Wanabodi,
Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu
Anybody...
Nadhani wewe hujui kuwa serikali inafahamu kila kitu na kinachoendelea huko tangu JPM ashike usukani kuendesha nchi hii.Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.
JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
Mkuu, Niko na mashaka na unachosema...Dhadabu huwa hata siku moja haisafirishwi bila ya mtu wa serikali kuwepo...lazima jamaa waende ku-verify kinachosafirishwa...Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.
JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
mhm..mbona mambo yanakwenda kibabe hivyo,kana kwamba washahukumiwa..Taarifa nilizozipata ni kwamba migodi yote ilipelekewa taarifa kuwa kuna timu ya watu 3 toka kitengo cha ajira itakayopita katika migodi yote kupata taarifa kuhusiana na ajira.
Siku ilipofika, timu hiyo ilifika mgodi wa Almasi Mwadui ikiwa na watu karibia 30, wakiwemo askari wenye silaha. Askari wa getini walipowaeleza kuwa gate passes zilizoandaliwa ni za watu 3 tu, wageni waliamua kufungua geti wenyewe na kuingia.
Ndani ya mgodi, maofisa wa mgodi waliulizwa maswali ya kila aina kuanzia ya kodi, resource, n.k., haikuwa tena suala la ajira kama waliyokuwa wametaarifiwa kabla. Mwishoni timu ilitaka kunyonya data zote kwenye server, maofisa waliokuwepo walisema wao hawawezi kuruhusu kwa sababu hawana mamlaka, wanataka wawasiliane na wakuu wao. Order ikatolewa maofisa wa mgodi waliokuwepo kwenye mahojiano wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kutoruhusu data kunyonywa Hilo likatekelzwa mara moja, sijui waliachiwa baada ya muda gani.
Baada ya Mwadui timu ilielekea Buzwagi. Na uongozi wa juu ulitoa maelekezo kwa maofisa wake, bila kujali namna walivyoijiwa, wao watoe ushirikiano wa hali ya juu kwa kuwapa kila kitu wanachotaka. Maofisa walifanya hivyo, lakini mwishowe walimtaka mkuu wa mgodi awape laptop yake, naye akawapa, wakaondoka nayo.
Ninachojua ni kuwa the mining industry has been very much concerned with the approach, discussions have been going on at high company levels.