Audit kubwa Migodini

Audit kubwa Migodini

Kinachosumbua kwenye migodi ni mikataba mibovu ambayo serikali iliingia, kama umesaini mkataba miaka mia na mtu unategemea nini? Kama umesaini mgodi ufanye kazi as a project huku uhalisia ukionyesha exploralation ilishafanyika na mzigo upo unategemea nini?
Tulishaingia choo cha kike na kukalia jiti tujipange upya for the new mines, tujifunze pia kwenye mikataba mipya ya gas. Wazungu walishatuzidi akili na hiii imesababishwa sana na kujaza watu wenye uwezo mdogo kwenye mifumo muhimu ya utendaji.
Ni wakati sasa wa mh JPM kubadirisha mfumo wa kiutendaji serikalini na kwenye taasisi zote za umma!! Kamlete + Vilaz_a wanaligharimu taifa.
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba migodi yote ilipelekewa taarifa kuwa kuna timu ya watu 3 toka kitengo cha ajira itakayopita katika migodi yote kupata taarifa kuhusiana na ajira.

Siku ilipofika, timu hiyo ilifika mgodi wa Almasi Mwadui ikiwa na watu karibia 30, wakiwemo askari wenye silaha. Askari wa getini walipowaeleza kuwa gate passes zilizoandaliwa ni za watu 3 tu, wageni waliamua kufungua geti wenyewe na kuingia.

Ndani ya mgodi, maofisa wa mgodi waliulizwa maswali ya kila aina kuanzia ya kodi, resource, n.k., haikuwa tena suala la ajira kama waliyokuwa wametaarifiwa kabla. Mwishoni timu ilitaka kunyonya data zote kwenye server, maofisa waliokuwepo walisema wao hawawezi kuruhusu kwa sababu hawana mamlaka, wanataka wawasiliane na wakuu wao. Order ikatolewa maofisa wa mgodi waliokuwepo kwenye mahojiano wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kutoruhusu data kunyonywa Hilo likatekelzwa mara moja, sijui waliachiwa baada ya muda gani.

Baada ya Mwadui timu ilielekea Buzwagi. Na uongozi wa juu ulitoa maelekezo kwa maofisa wake, bila kujali namna walivyoijiwa, wao watoe ushirikiano wa hali ya juu kwa kuwapa kila kitu wanachotaka. Maofisa walifanya hivyo, lakini mwishowe walimtaka mkuu wa mgodi awape laptop yake, naye akawapa, wakaondoka nayo.

Ninachojua ni kuwa the mining industry has been very much concerned with the approach, discussions have been going on at high company levels.

Hakuna jiwe litaachwa kuguswa.. Hii nchi itanyooka tu na soon tutakuwa EA Super Power
 
Wahingize usalama wa taifa katika system yao ya ajira
 
Kinachosumbua kwenye migodi ni mikataba mibovu ambayo serikali iliingia, kama umesaini mkataba miaka mia na mtu unategemea nini? Kama umesaini mgodi ufanye kazi as a project huku uhalisia ukionyesha exploralation ilishafanyika na mzigo upo unategemea nini?
Tulishaingia choo cha kike na kukalia jiti tujipange upya for the new mines, tujifunze pia kwenye mikataba mipya ya gas. Wazungu walishatuzidi akili na hiii imesababishwa sana na kujaza watu wenye uwezo mdogo kwenye mifumo muhimu ya utendaji.
ikataba mibovu haikushuka toka mbinguni,bali ilitengenezwa na watanzania washenzi.Kibaya zaidi ki
Ni wakati sasa wa mh JPM kubadirisha mfumo wa kiutendaji serikalini na kwenye taasisi zote za umma!! Kamlete + Vilaz_a wanaligharimu taifa.

Mikataba mibovu ya madini haikutoka mbinguni,bali ilitengenezwa na watanzania washenzi.Hata wananchi kila muda walipojaribu kuhoji,walijibiwa na viongozi wakuu yaani ma raisi,ma waziri wakuu,mawaziri wenye dhamana majibu yenye muonekano wa majipu,tena kwa mbwembwe.Kama ulipanda mikataba ya kinyonyaji,tena mibaya zaidi kuliko ya mkoloni mwingereza,tusubiri kusaga meno kwa miaka 99 ijayo.
 
Kwa Magufuli kila goti litapigwa.

Pia hamna jiwe litakalobaki bila kugeuzwa
 
Wakuu mimi ninachojua na nina uhakika ni kuwa auditord from the .Gov wametinga huko, sina details. Najua huku kuna inzi wanajua kunusa...

Take it from me, hii siyo tetesi ni kweliii...
Upo ktk mgodi upi ?
 
Tatizo mikataba mibovu kupiga kiasi tena kwa uwazi mno !!
 
Tusije tuu tukatakiwa kulipa fidia kwa ubabe. ...

Mchezo huu hauhitaji hasira. ...Tukae chini tuangalie mikataba, ikibidi kui cancel tufanye hivyo pasipo kuleta madhara kwa upande wetu.....
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba migodi yote ilipelekewa taarifa kuwa kuna timu ya watu 3 toka kitengo cha ajira itakayopita katika migodi yote kupata taarifa kuhusiana na ajira.

Siku ilipofika, timu hiyo ilifika mgodi wa Almasi Mwadui ikiwa na watu karibia 30, wakiwemo askari wenye silaha. Askari wa getini walipowaeleza kuwa gate passes zilizoandaliwa ni za watu 3 tu, wageni waliamua kufungua geti wenyewe na kuingia.

Ndani ya mgodi, maofisa wa mgodi waliulizwa maswali ya kila aina kuanzia ya kodi, resource, n.k., haikuwa tena suala la ajira kama waliyokuwa wametaarifiwa kabla. Mwishoni timu ilitaka kunyonya data zote kwenye server, maofisa waliokuwepo walisema wao hawawezi kuruhusu kwa sababu hawana mamlaka, wanataka wawasiliane na wakuu wao. Order ikatolewa maofisa wa mgodi waliokuwepo kwenye mahojiano wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kutoruhusu data kunyonywa Hilo likatekelzwa mara moja, sijui waliachiwa baada ya muda gani.

Baada ya Mwadui timu ilielekea Buzwagi. Na uongozi wa juu ulitoa maelekezo kwa maofisa wake, bila kujali namna walivyoijiwa, wao watoe ushirikiano wa hali ya juu kwa kuwapa kila kitu wanachotaka. Maofisa walifanya hivyo, lakini mwishowe walimtaka mkuu wa mgodi awape laptop yake, naye akawapa, wakaondoka nayo.

Ninachojua ni kuwa the mining industry has been very much concerned with the approach, discussions have been going on at high company levels.
Nadhani umekomaa sana safi kwakutoa mwangaza
 
Natazamia kwa audit hii, Ajira za weupe wasio na tija, i mean kazi ambazo watanzania wanazijua na kuzifanya hakuna haja ya kuwa na wageni wanaojiita expats. Wapo wengi huku migodini na wengi wanatembea na vikombe vya kahawa tu wakisubiri watanzania wawafanyie kazi ili wao waseme i have done this.

Serikali inasema inataka kujenga nchi ya viwanda-katika hili hakutakuwa na mafanikio kama makampuni haya ya madini yatanedelea kuagiza kila bidhaa inayotumika migodini kwenye nchi yanakotoka. Mfano tuna karatasi za SA na Australia. KWanini serikali isijikite katika kukiimarisha kiwanda cha karatasi mgololo ili karatasi zinazotumika kwa wingi kuprint plan za migodi zinunuliwe hapa hapa TZ. Migodini kila contrctor huja na strategy ya kuinua uchumi wa nchi yake, ndio maana wanaagiza kila kitu kutoka nchi zao. AZAM wanatengeneza maziwa lakini maziwa migodini yanatoka SA, Why??/

Kodi pia waangazie. kiasi kikubwa cha mapato ya migodi yanarudi kwa hawa wawekezaji, ndio maana makampuni mengi yanayopata kufanya kazi na migodi ni ya nje na yanaajiri na kuagiza kila kitu kutoka nchi mwao. Kampuni ikija na expats wengi inamaana operating cost inakuwa kubwa lakini si kwa sababu za msingi kwani kuna sehemu hazina ulazima wa kuwa nao. Hii Hurudisha mapato yote kwenye nchi zao na kwa naman hii utaona faida inayopatikana inakuwa ndogo sana na hivyo serikali kuambulia kodi kiduchu.

iko kazi kubwa na inahitaji wataalamu ili kubaini namna ya kulisaidia taifa hili lipige hatua katika sekta hasa ya viwanda na kuongeza kodi.
 
Safi sana, taratibu tu tutaheshimiana, kuna watu tulikuwa tunawaona wana akili sana za kutafuta hela kumbe ni wezi na wala rushwa wakuu
 
Kinachosumbua kwenye migodi ni mikataba mibovu ambayo serikali iliingia, kama umesaini mkataba miaka mia na mtu unategemea nini? Kama umesaini mgodi ufanye kazi as a project huku uhalisia ukionyesha exploralation ilishafanyika na mzigo upo unategemea nini?
Tulishaingia choo cha kike na kukalia jiti tujipange upya for the new mines, tujifunze pia kwenye mikataba mipya ya gas. Wazungu walishatuzidi akili na hiii imesababishwa sana na kujaza watu wenye uwezo mdogo kwenye mifumo muhimu ya utendaji.
Ni wakati sasa wa mh JPM kubadirisha mfumo wa kiutendaji serikalini na kwenye taasisi zote za umma!! Kamlete + Vilaz_a wanaligharimu taifa.
Hivi kuvunja mikataba ya kinyonyaji hawezekani au mpaka UKAWA wapewe nchi?
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba migodi yote ilipelekewa taarifa kuwa kuna timu ya watu 3 toka kitengo cha ajira itakayopita katika migodi yote kupata taarifa kuhusiana na ajira.

Siku ilipofika, timu hiyo ilifika mgodi wa Almasi Mwadui ikiwa na watu karibia 30, wakiwemo askari wenye silaha. Askari wa getini walipowaeleza kuwa gate passes zilizoandaliwa ni za watu 3 tu, wageni waliamua kufungua geti wenyewe na kuingia.

Ndani ya mgodi, maofisa wa mgodi waliulizwa maswali ya kila aina kuanzia ya kodi, resource, n.k., haikuwa tena suala la ajira kama waliyokuwa wametaarifiwa kabla. Mwishoni timu ilitaka kunyonya data zote kwenye server, maofisa waliokuwepo walisema wao hawawezi kuruhusu kwa sababu hawana mamlaka, wanataka wawasiliane na wakuu wao. Order ikatolewa maofisa wa mgodi waliokuwepo kwenye mahojiano wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kutoruhusu data kunyonywa Hilo likatekelzwa mara moja, sijui waliachiwa baada ya muda gani.

Baada ya Mwadui timu ilielekea Buzwagi. Na uongozi wa juu ulitoa maelekezo kwa maofisa wake, bila kujali namna walivyoijiwa, wao watoe ushirikiano wa hali ya juu kwa kuwapa kila kitu wanachotaka. Maofisa walifanya hivyo, lakini mwishowe walimtaka mkuu wa mgodi awape laptop yake, naye akawapa, wakaondoka nayo.

Ninachojua ni kuwa the mining industry has been very much concerned with the approach, discussions have been going on at high company levels.
Imetokea lini hiyo mkuu
 
Wakuu:
Ni kweli, sababu kubwa ni mikataba mibovu. Ikiwa Waziri mwenye dhamana ya madini anaondoka hapa nchini na mkoba wake, na kumfuata huyo mchimbaji huko huko alipo ( eti hotelini) na ku-sign mikataba.

Sasa ndugu zangu hapo tutegemee nini.
 
Kimsingi Serikali inafanya usimamizi wa kina wa shughuli za uzalishaji na Biashara ya madini kupitia kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA).

TMAA ni Wakala ya serikali yenye wataalamu waliobobea katika kusimamia na kukagua shughuli zote zinazohusiana na uwekezaji, uchimbaji na biashara ya madini kiujumla. Ieleweke kuwa kabla Serikali haijaanzisha chombo hiki, Serikali ilikuwa ikitumia taarifa zilizokuwa zikitolewa na wawekezaji ili iweze kupata stahiki zake mbalimbali ikiwa ni pamoja na kodi ya mapato, ambapo kwa kutumia utaratibu huo Serikali haikuwa inapata taarifa/takwimu sahihi za madini yaliyokuwa yakizalishwa na kuuzwa na hivyo kutokupata stahiki zake sahihi ikiwa ni pamoja na kutokupata kabisa mapato yatokanayo na kodi ya mapato.

Tangu kuanzishwa kwa TMAA Serikali imekuwa ikipata takwimu sahihi za madini yanayozalishwa na hapa nchini ikiwa ni pamoja na kupata stahiki zake zote zinazotokana na biashara ya madini hapa nchini.
Katika kuhakikisha haya yote yanawezekana, Serikali kupitia Wakala imeweka wakaguzi katika maeneo yote yenye uzalishaji wa madini ambao pamoja na mambo mengine wanachukua sampuli za madini (kwa migodi mikubwa ya dhahabu) sampuli ambazo hufanyiwa uchunguzi katika Maabara ya Wakala (ISO 17025 Accredited Laboratory) ili kuweza kubaini ubora wake (madini yaliyopo ndani ya sampuli husika) na kisha kuthaminisha na bei ya madini hayo kwa siku husika katika soko la madini ya metali duniani (LME).

Pamoja na hayo, Wakaguzi wa Wakala hukakiki gharama za uwekezaji na uendeshaji wa shughuli za uzalishaji wa madini kwa lengo la kuepusha uwezekano wa wachimbaji kuipatia Serikali taarifa zisizokuwa sahihi kwa kukusudia au kutokukusudia, taarifa ambazo hupelekea kuonesha hasara na hivyo kuikosesha Serikali mapato yake kama kodi ya mapato. Ukaguzi huu umeiwezesha Serikali kuweza kukusanya mabilioni ya pesa (Zaidi ya bilioni 850) kama kodi ya mapato pesa ambazo hazikuwahi kukusanywa kabla ya Wakala kuanzishwa.

Sambamba na hayo ni jukumu la Wakala kuhakiki kiasi cha fedha kilichotengwa na migodi kwa ajili ya utunzaji na ukarabati wa mazingira katika maeneo ya migodi hiyo ili kupunguza athari za uharibifu wa mazingira sambamba na kutathmini iwapo makampuni ya uchimbaji wa madini yameweka dhamana ya kutosha kwa Serikali ya kugharamia shughuli za utunzaji na ukarabati wa mazingira ya maeneo ya mgodi wakati wa uhai wa mgodi na baada ya shughuli za mgodi kufungwa. Nimepitia taarifa ya mwaka 2015 ya Wakala nimeweza kuona mambo mengi kweli ambayo sikuwahim kuyajua kabla. BIG UP TMAA, Big up Serikali.

http://www.tmaa.go.tz/uploads/TMAA_Annual_Report_2015-4.pdf

Nikirudi kwenye uzi " AUDIT KUBWA MIGODINI"

Binafsi nafikiri ni vyema Serikali iendelee kutumia vyombo vyake mbalimbali katika kusimamia maliasili na ustawi wa jamii ya watanzania.

Ikumbukwe kwamba hatuwezi kusema tunafuta jeshi la polisi na Magereza kwa sababu tuna jeshi la Wanchini Tanzania. Hivyo vyombo mbalimbali vya Serikali vitaendelea kwa mujibu wa sheria kutekeleza majukumu yao kwa mbinu mbalimbali lakini zote zenye lengo la kujenga.

Ni mchango wangu kwa yale niyajuayo juu ya ukaguzi migodini.
 
Back
Top Bottom