Audit kubwa Migodini

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,010
Wanabodi,

Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu
Anybody...
 
Sasa wewe ndo umekua wa kwanza kujua yamkini,tena unasema unashangaa hbr haijaletwa humu,inaletwa na nani sasa badala ya wewe mwenyewe kutupa hyo habari?
 
Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.

JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
 
Wakuu mimi ninachojua na nina uhakika ni kuwa auditord from the .Gov wametinga huko, sina details. Najua huku kuna inzi wanajua kunusa...

Take it from me, hii siyo tetesi ni kweliii...
 
Acha utoto,kila siku auditing za migodi zinafanyika. Usipende kuongea vitu usivyovijua
 
Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.

JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
Kaka achana na huyo mtoto, anaongea vitu asivyovijua.
 
Wanabodi,

Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu
Anybody...

Mkuu ulitaka nani ailete?

Au unadhanb kila mtu yuko interested na mambo ya audit au migodi
 
Mbona Kabla ya mzigo tra n.a. TMMA wanaukagua?
Shida ni mikataba... mibovu ..means mgawanyo wa mali
 
UKAGUZI HUU UMECHELEWA SANA. TUNAOMBA UFANYIKE KWA UMAKINI MKUBWA NA KAMA ITAGUNDULIKA KUNA UPOTEVU WA KODI YA SERIKALI NI VEMA MGODI ULIPE GHARAMA YOTE AU MALI YA WAHUSIKA ITAIFISHWE NA SERIKALI TUCHIMBE WENYEWE.
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba migodi yote ilipelekewa taarifa kuwa kuna timu ya watu 3 toka kitengo cha ajira itakayopita katika migodi yote kupata taarifa kuhusiana na ajira.

Siku ilipofika, timu hiyo ilifika mgodi wa Almasi Mwadui ikiwa na watu karibia 30, wakiwemo askari wenye silaha. Askari wa getini walipowaeleza kuwa gate passes zilizoandaliwa ni za watu 3 tu, wageni waliamua kufungua geti wenyewe na kuingia.

Ndani ya mgodi, maofisa wa mgodi waliulizwa maswali ya kila aina kuanzia ya kodi, resource, n.k., haikuwa tena suala la ajira kama waliyokuwa wametaarifiwa kabla. Mwishoni timu ilitaka kunyonya data zote kwenye server, maofisa waliokuwepo walisema wao hawawezi kuruhusu kwa sababu hawana mamlaka, wanataka wawasiliane na wakuu wao. Order ikatolewa maofisa wa mgodi waliokuwepo kwenye mahojiano wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kutoruhusu data kunyonywa Hilo likatekelzwa mara moja, sijui waliachiwa baada ya muda gani.

Baada ya Mwadui timu ilielekea Buzwagi. Na uongozi wa juu ulitoa maelekezo kwa maofisa wake, bila kujali namna walivyoijiwa, wao watoe ushirikiano wa hali ya juu kwa kuwapa kila kitu wanachotaka. Maofisa walifanya hivyo, lakini mwishowe walimtaka mkuu wa mgodi awape laptop yake, naye akawapa, wakaondoka nayo.

Ninachojua ni kuwa the mining industry has been very much concerned with the approach, discussions have been going on at high company levels.
 
Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.

JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
Nadhani wewe hujui kuwa serikali inafahamu kila kitu na kinachoendelea huko tangu JPM ashike usukani kuendesha nchi hii.
 
Haya makampuni ya nje ni vigumu kuwapata na hatia kwa kufanya auditing. Kama kuna sehemu wanahakikisha they have the best ni accountants na lawyers.
 
Audit ni jambo moja lakini kinachotakiwa na kuzuia kuibiwa. Hata serikali ya JPM haijui ukweli wa mgodi kama GGM & ACACIA kwamba wanasafirisha madini kwenda nje mara ngapi kwa mwezi, yenye uzani gani, bei pendekezwa na kodi inayostahili.

JPM anatakiwa kuweka ulinzi na udukuzi wa halii juu migodini badala ya kuhangaika na vijana wa CHASO na kuwanyanyasa. Sekta ya madini inaweza kuchangia pakubwa katika maendeleo kuliko ilivyo sasa.
Mkuu, Niko na mashaka na unachosema...Dhadabu huwa hata siku moja haisafirishwi bila ya mtu wa serikali kuwepo...lazima jamaa waende ku-verify kinachosafirishwa...
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba migodi yote ilipelekewa taarifa kuwa kuna timu ya watu 3 toka kitengo cha ajira itakayopita katika migodi yote kupata taarifa kuhusiana na ajira.

Siku ilipofika, timu hiyo ilifika mgodi wa Almasi Mwadui ikiwa na watu karibia 30, wakiwemo askari wenye silaha. Askari wa getini walipowaeleza kuwa gate passes zilizoandaliwa ni za watu 3 tu, wageni waliamua kufungua geti wenyewe na kuingia.

Ndani ya mgodi, maofisa wa mgodi waliulizwa maswali ya kila aina kuanzia ya kodi, resource, n.k., haikuwa tena suala la ajira kama waliyokuwa wametaarifiwa kabla. Mwishoni timu ilitaka kunyonya data zote kwenye server, maofisa waliokuwepo walisema wao hawawezi kuruhusu kwa sababu hawana mamlaka, wanataka wawasiliane na wakuu wao. Order ikatolewa maofisa wa mgodi waliokuwepo kwenye mahojiano wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kutoruhusu data kunyonywa Hilo likatekelzwa mara moja, sijui waliachiwa baada ya muda gani.

Baada ya Mwadui timu ilielekea Buzwagi. Na uongozi wa juu ulitoa maelekezo kwa maofisa wake, bila kujali namna walivyoijiwa, wao watoe ushirikiano wa hali ya juu kwa kuwapa kila kitu wanachotaka. Maofisa walifanya hivyo, lakini mwishowe walimtaka mkuu wa mgodi awape laptop yake, naye akawapa, wakaondoka nayo.

Ninachojua ni kuwa the mining industry has been very much concerned with the approach, discussions have been going on at high company levels.
mhm..mbona mambo yanakwenda kibabe hivyo,kana kwamba washahukumiwa..
 
Back
Top Bottom