Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.

Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..

View attachment 3460497
Sasa ni rafiki kipenzi wa Samia.
 
Ila Magufuli bhana...!

Tanzania tulishindwa kweli kumlinda?

Usalama wa Taifa nao ulifeli kumlinda?

Sijui itachukua karine ngapi tena kumpata mtu kama JPM

Nchi itakuwa na wanaume wachache sana, kwa wanavyotekwa kwa uwingi kisha kuuwawa...!
Hivi ni kweli ndugu au mnatania?
 
Ila Magufuli bhana...!

Tanzania tulishindwa kweli kumlinda?

Usalama wa Taifa nao ulifeli kumlinda?

Sijui itachukua karine ngapi tena kumpata mtu kama JPM

Nchi itakuwa na wanaume wachache sana, kwa wanavyotekwa kwa uwingi kisha kuuwawa...!
Magufuli alichezea nafasi adhimu ya kutengeneza katiba yenye mifumo madhubuti, badala yake akajigeuza yeye ndio katiba na mifumo.
 
GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.

Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..

View attachment 3460497
JPM hakujua uniform zilikuwa zimeletwa ila CAG ilikuwa muongo!. VIDEO: KWA MSIOJUA PESA ALIZOPIGA ANJELA KWA JESHI LA POLISI NI HII ISSUE MSIKILIZE LATE MAGUFULI HAPA
P
 
Magufuli alichezea nafasi adhimu ya kutengeneza katiba yenye mifumo madhubuti, badala yake akajigeuza yeye ndio katiba na mifumo.
Utaratibu mzuri kwanza safisha nyumba. Afu ndo uweke utaratibu. Huwezi weka utaratibu wakati nyumba bado chafu. Unaweza weka utaratibu uchafu ukiwepo afu bado wachafu wakatumia Muda huo kulinda uchafu. Magufuli alikuwa sahihi kuanza kusafisha kwanza. Amekufa kabla hajatimiza mambo yake mazuri. But angalau katupa somo bora la uongozi namna nchi inatakiwa kuendeshwa.
 
Kweli.kabisa angebadili katiba angetutendea haki sana
 
Utaratibu mzuri kwanza safisha nyumba. Afu ndo uweke utaratibu. Huwezi weka utaratibu wakati nyumba bado chafu. Unaweza weka utaratibu uchafu ukiwepo afu bado wachafu wakatumia Muda huo kulinda uchafu. Magufuli alikuwa sahihi kuanza kusafisha kwanza. Amekufa kabla hajatimiza mambo yake mazuri. But angalau katupa somo bora la uongozi namna nchi inatakiwa kuendeshwa.
Wapi, sana sana angenegeneza katiba ya utashi wake. Ni kama hii ya 1977 yenye utashi wa Nyerere.
 
peter elias kapingu.jpg
 
Ila Magufuli bhana...!

Tanzania tulishindwa kweli kumlinda?

Usalama wa Taifa nao ulifeli kumlinda?

Sijui itachukua karine ngapi tena kumpata mtu kama JPM

Nchi itakuwa na wanaume wachache sana, kwa wanavyotekwa kwa uwingi kisha kuuwawa...!
Kwa nini yeye mwenyewe hukuchukua hatua ?

Wapelelezi wote, waendesha mashtaka, ma IGP, TAKUKURU wote wako chini yake.

YEYE kama chief law enforcement officer, alifanya nini kufuatilia kesi ya bilions of foreign currency zimetoka serikalini kiwizi, inakuaje usifuatilie ?
Magufuli mwenyewe hakuelewa criminal justice inakwendaje duniani.

Kwenye hilo agizo lake akasema tujaribu zirudi hata nusu ili tuakatolee magari ya polisi TRA yamekwama bandarini.

KWA NIN HELA IRUDI NUSU ?????

Magufuli aliagiza Harbinger Singh na Mzee Rugemalila waachiwe warudi makazini kwao kwa saab wakikaa jela yeye hapati kodi na watu wake hawapati ajira. Hakusema hivyo Magufuli?

Afrika, jamani jamani jamani.

Unapandaje ngazi mpaka unakuwa Rais wa watu milioni 60 halafu hujui kabisa kabisa ABCs of criminal justice ?????
????
 
Back
Top Bottom