Kuna gari zinatumia timing belts zingine Chein.hivi timing chain ndiyo belt? shukrani mkuu. nitafuatilia
Tumia 5W 40 kwasabb hiyo gari imevuka km 100000 pia jaribu kwenda Kwa mafundi wazuri wapime hizo TAPETI

Huo mlio maana yake ni kuwa injini yako ina misifire; yaani haichomi mafuta vizuri. Suspect mkubwa sana hapo ni injectors. Inaoinekana kama vile injector hazi-atomize mafuta sawasawa. Ukiweza tafuta mafundi wa kukukagulia na kukusafishia injectors. Suspect namba mbili ni spark plugs hasa zikiwa na masizi mengi hushindwa kuchoma mafuta sawasawa na kusababisha misfire.View attachment 1860725
Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama at idle ndipo unasikika.
Huo mlio ni zaidi ya miezi 6 sasa. Nilianza kuunotice mara baada ya kuanza kuweka 'petrol treatment', japo sina hakika sana na hili.
Inshu nyingine pia: coolant huwa inapungua kwa kiwango kidogo.
Gari ina nguvu vizuri kwenye mwendo. Odometer ni 126,000 KM. Service nazingatia kwa wakati natumia engene oil 5W-30 TOTAL quartz 9000 (full synthetic).
Taa ya check-engine haijawahi kuwaka. Je, naweza kwenda kufanya machine diagnosis? If yes, ni gereji gani kwa hapa Moshi mjini wanafanya diagnosis kwa uhakika? au niende Arusha?
Matengenezo ya nyuma:
Mwaka jana engine iliwahi kukosa nguvu kabisa kwenye kilima/mpando. Tuliondoa 'masega' kwenye eksozi. Tatizo likaisha na engine power ikarejea upya!
Nimesikiliza tena mlio huo na kugundua kitu cha pili inawezekana una bearing ama za waterpump, idler au za air conditioner zimeshasagika. Kwa vile unapoteza coolant, inawezekana sana kuwa bearing za waterpump zimeshasagika; waambie mafundi wako waangalie bearing hizo pia. Unaweza kuwa unahitaji water pump mpya.View attachment 1860725
Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama at idle ndipo unasikika.
Huo mlio ni zaidi ya miezi 6 sasa. Nilianza kuunotice mara baada ya kuanza kuweka 'petrol treatment', japo sina hakika sana na hili.
Inshu nyingine pia: coolant huwa inapungua kwa kiwango kidogo.
Gari ina nguvu vizuri kwenye mwendo. Odometer ni 126,000 KM. Service nazingatia kwa wakati natumia engene oil 5W-30 TOTAL quartz 9000 (full synthetic).
Taa ya check-engine haijawahi kuwaka. Je, naweza kwenda kufanya machine diagnosis? If yes, ni gereji gani kwa hapa Moshi mjini wanafanya diagnosis kwa uhakika? au niende Arusha?
Matengenezo ya nyuma:
Mwaka jana engine iliwahi kukosa nguvu kabisa kwenye kilima/mpando. Tuliondoa 'masega' kwenye eksozi. Tatizo likaisha na engine power ikarejea upya!
Huo mlio maana yake ni kuwa injini yako ina misifire; yaani haichomi mafuta vizuri. Suspect mkubwa sana hapo ni injectors. Inaoinekana kama vile injector hazi-atomize mafuta sawasawa. Ukiweza tafuta mafundi wa kukukagulia na kukusafishia injectors. Suspect namba mbili ni spark plugs hasa zikiwa na masizi mengi hushindwa kuchoma mafuta sawasawa na kusababisha misfire.