donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Audemars piguet..
mkuu mzigo wa kishua sana.potezea tu.Bei gani hiyo 🤨
mkuu mzigo wa kishua sana.potezea tu.
mkuu mzigo wa kishua sana.potezea tu.
Bei gani hiyo [emoji2955]
Mie ni zaidi wa kishua mkuu... mi nimetafuta mwenyewe ... nijue tu bei yake... chini ya jua hili sishindwi jambo...
Kiasi gani mkuu ni £ kiasi gani boss 🤨Hela kadhaa mkuu
Unataka sura yangu?Umeiba hiyo saa mbona hijionyeshi sura?
17000USD mkuuKiasi gani mkuu ni £ kiasi gani boss [emoji2955]
Duh17000USD mkuu
Humfahamu Gwajima!Kinachoshindikana ni kumrudisha aliekufa tu mkuu
Humfahamu Gwajima!
Kiasi gani mkuu ni £ kiasi gani boss [emoji2955]
One day yes yes... ngoja niendelee kupambanaKama ni original ni £100,000 mkuu
Hizo saa zina bei sana
Yaani hiyo Ina 84 carat diamond [emoji184] na white gold [emoji20][emoji20][emoji383]