Audemars on my wrist...

Audemars on my wrist...

Ya kariakoo hiyo saa ya dola 17000 unaifahamu vzr?
 
Sio yenyewe hiyo angalia tetanus,wenye kuvaa zile zenyewe wakipiga picha wanakuwa either ndani ya yatch au kwenye mandhari inayoendana na thamani ya hayo madini huku pembeni kukiwa na chupa ya Moët!!!,sasa wewe ndugu umeipiga kwenye shuka la mmasai!!!
 
Bra, umeelewa hapo juu nilivyosema neno 'clone' lakini?
 
Back
Top Bottom