Hahaha khaa!Haujasoma magnetism, opposite ndo zina-attract, Kwa hiyo mifano yako haiko applicable kabisa kwenye magnets, labda ulete theory nyingine tofauti na magnetism.
Sumaku ina pande mbili upande mmoja huvuta na upande mwingine husukuma hivyo mambo yako yatakwenda kulingana na moyo (roho) wako ulivyo.