Au sababu ya ugeni

Au sababu ya ugeni

Shariti ili upate wa kukupa ua lazima uwe PM addicted.
 
^^
Usiwe na haraka @a.rahab utampata hivi karibuni ukitaka kuthibitisha hili, nenda jukwaa la chit chat mada ya 'naomba ua jamani' utapata mengi na PM juu
^^


mbona mi hujanipa ua.?? lol!
 
Hahahaha ATM n mitego hio

Sema bi mkubwa, iweje uwe mtego wakati nakupa hadi password inakuwa ya kwako yote yote.

Nikikupa maua yatanyauka banaa, bora uchawi wa kizungu "money".
 
Back
Top Bottom