Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,415
- 54,859
Ka cross border
Hitilafu ya kiufundi...akatua kwa dharula,ila ndiyo hivyo tena,watu hawana dogoAnapumzika kidogo au ndio safari imeishia hapo..!?
Hahahaaa... Airbus hiyo imetua kwa dharura... Anga lilichafuka kidogo na kupoteza uelekeo au sioHitilafu ya kiufundi...akatua kwa dharula,ila ndiyo hivyo tena,watu hawana dogo
KabisaAkili kubwa hutawala akili ndogo [emoji3][emoji3]
Hivi we unacheza na Corona?Hadi wachawi wanavaa barakoa
Nami naona vivyohivyo, habari yenyewe haina hata maelezo ni picha tu kama movies za akina JB na Erick FordHapo yanatengenezwa mazingira ya kupiga pesa. Endeleeni kuamini huu uongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi wachawi wanavaa barakoa
...Mkuu, unasema alipotua chini ndio Mkajaa!...Siyo igizo Mkuu hilo.alipotua chini ndiyo tukajaa
😂 😂 😂Hadi wachawi wanavaa barakoa
Alikuwa anaenda makaburini chattle