Atua chini kwa Ungo

Atua chini kwa Ungo

Kuna haja gani ya Taifa kupata hasara ya kununua midege basi kama wataalamu haw wpo nchini?
si awezeshwe tuu ili waweze kusafirisha watu kama boda boda?
Ni Geita Mjini hapa mitaa Ya Shilabela.View attachment 1750233
Kuna haja gani ya Taifa kupata hasara ya kununua midege basi kama wataalamu haw wpo nchini?
si awezeshwe tuu ili waweze kusafirisha watu kama boda boda?
 
Mimi nipo hapa muongo nani Kati Yangu na wewe?
Wakati anaendelea kutua ndio kilikua kipindi kizuri sana cha kuchukua picha na video. Kwa nini hamkufanya hivyo hadi alipotua chini ndo mkaanza kumchukua picha? Halafu kaweka na barakoa kabisa!.
 
Samahani mkuu, mmemuona kabisa akitua?
Hao wanasema wamemuona tayari keshatua. Tunachotaka sisi ni video akiwa anateremka au walau picha akiwa bado yupo angani. Mara nyingi tulizo huonesha tayari keshaanguka au kama huyu yeye Katya bila hata kuumia!
 
Siyo igizo Mkuu hilo.alipotua chini ndiyo tukajaa
Kwa hiyo mlijaa hapo baada ya yeye kutua chini. Wakati anatua, pamoja na kwamba mpo wengi sana, hakuna hata mmojawenu aliyepiga video au hata picha tu akiwa bado yupo angani akitafuta kiwanja cha kutua?
 
Back
Top Bottom