nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Ni Geita Mjini hapa mitaa Ya Shilabela.
🤣🤣🤣 DadekiHadi wachawi wanavaa barakoa
Safi sana. Huku ndiyo waliwekewa nyungu na mbunge wao wapige kwa kwenda mbele.Ni Geita Mjini hapa mitaa Ya Shilabela.View attachment 1750233
Siyo igizo Mkuu hilo.alipotua chini ndiyo tukajaaAmetua au mmeanza kumuona hivo. Hakuna video akiwa anatua tumuone.
Mimi nipo hapa muongo nani Kati Yangu na wewe?Hapo yanatengenezwa mazingira ya kupiga pesa. Endeleeni kuamini huu uongo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hadi wachawi wanavaa barakoa
Yanatengenezwaje mkuuHapo yanatengenezwa mazingira ya kupiga pesa. Endeleeni kuamini huu uongo.
Piga tena picha kama ibado Upo hapo mkuuMimi nipo hapa muongo nani Kati Yangu na wewe?
Akili kubwa hutawala akili ndogo [emoji3][emoji3]Wanatengenezewa kupigwa
Hiyo ni kinga upepo, inawezekana ina speed kubwa sana.Hadi wachawi wanavaa barakoa
Samahani mkuu, mmemuona kabisa akitua?Mimi nipo hapa muongo nani Kati Yangu na wewe?