Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Watu wanakimbia na pesa ya sanda au sanduku la maiti hao ndio wa kulaumiwa kuhusu hao wametumia fursa hizo suti zenu ziwekeni sherehe bado zipo nyingi ikishindikana mwisho wa mwaka pana sherehe mtavaa hayo magauni yenu.