Kuoana... Kama DR. kaenda Canada.wamsamehe huenda wameenda kuowana huko ...
Wakirudi bila kufunga ndoa ndo waombe msamaha, lakini wakija na uthibitisho kwamba walifunga ndoa basi hela itakuwa imetumika kwenye malengo yake. Hangera zao 26m za fasta si haba.Waweke kumbukumbu za wachangiaji vizuri baada ya miaka 5 warudi na kuwarudishia michango yao na kuwaomba msamaha.
Jamaa amefariki na mkewe yu mahututi. Walipata ajali ya gari last month



