ATM jangwani...

ATM jangwani...

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
ATMHADIBUSHI.jpg

Unadroo pesa kama kawa.
 
ntampelekea babu yangu kule kijijini...asante sana sana mwanangu, nilikua namalizia kuom,ba ili nikutumie meseji, ile namalizia tu alah, si ndio nikaona ka-ujumbe kutoka kwako? Ubarikiwe sana mwanangu
 
Usijali mpwaa, sasa hivi utakua unadroo bila woga.
 
Hawa wenzetu wapanda ngamia, mengi wanayafanya hata kuua kigaidi wanaua lkn mambo ya kuiba wanaogopa sana!
 
Ukiiba unakatwa mkono, ukirudia na mwingine unakatwa - sasa hapo kutakuwa na wezi kweli?
 
Back
Top Bottom