kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 257
- 278
Kwani alienda wapi?
Usiniambie alikuwa kwenye likizo ya uzazi.
Sawa.
Ila mdau ndio umepata pesa ya Bando leo?
Kwa hiyo anakiwasha au anasubiri jina lake liingizwe kwenye orodha kipindi cha dirisha dogo?Taarifa imetoka Jan hiyo
Kwa hiyo anakiwasha au anasubiri jina lake liingizwe kwenye orodha kipindi cha dirisha dogo?
Sasa taarifa ya jana leo umeleta ya nini? Si ndio kusema jana hukuwa na bando?Taarifa imetoka Jan hiyo baada ya mgogoro wa kimkataba
Ok, sasa nimeelewa.Jina lilikuwa limeshaingizwa Ila shida ilikuwa Ni vipengere vya mkataba ndy maana klab ilimsimamisha cio tff kucheza anacheza
Sasa taarifa ya jana leo umeleta ya nini? Si ndio kusema jana hukuwa na bando?
😀😀😀 una porojo sana mdau na Utopolo yakoHaimanishi kuwa niliikuwa Sina bando Ila niliikuwa nafanya uchunguzi wa sakata hili kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika
😀😀😀 una porojo sana mdau na Utopolo yako
Huyo ni kolo mwenzako.😀😀😀 una porojo sana mdau na Utopolo yako
Sio kweli.Huyo ni kolo mwenzako.