Atimuliwa nchini kwa kubadili jinsia

Atimuliwa nchini kwa kubadili jinsia

ni actress maarufu huko kwao na hata zanzibar walikuja kushoot filamu yao moja nadhani ni documentary wapo kama watu 80 yeye ndio kamiss na humo magasho kibao ila wao wako kama waonekanvyo kwenye hati zao
huyu alipohojiwa anasema yuko katika hatua za mwisho za kukibadili jinsia yaani kufyekwa kigegedo ili apachikwe kigegeduliwa
hahaaaa "" ana laana", kweli kavurugwa ".=
 
M nkajua wakfanya transgender wanaondoa uume na kuweka uke....dah!hivi unaanzaje kupakua jamaa lenzio lenye zigo ka wewe!


Ni ugonjwa wa akili au ushetani tu.....mwaka jana kwenye tamasha la Sauti za Busara mimi nilitongozwa Zanzibar na kijana wa kiarab eti anataka nimpakue, yaani nikashindwa kumjibu ikabaki namtizama tu.
 
Back
Top Bottom