[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee, night waweza opoa ukihisi chombo matata kumbe jidume matata!!!
Acha uongo, mbona mashoga wapo miaka yote na harusi zao zinafanyika mitaani, hiyo si laana kwa kuwa ni watanzania?Forza Italia......
Rudi kwenu ukamtukanie Mungu na uumbaje wake Hukohuko kwenu kwenye ardhi ya laana, sio hapa kwetu kwenye ardhi takatifu, nchi ya asali Na maziwa
Niliwahi kusema kuwa ubaguzi ni sehemu ya maisha hakuna siku ambayo itatokea kuwa na maisha yasiyo na kubaguana,kwa maana hiyo naunga mkono huu ubaguzi kwa Asilimia zote,arudi tu kwao.na nyie mkifukuzwa kwao mnaanza kulalamika "ooohh wazungu wanatubagua" sijui nini.."wabaguzi wa rangi"
Mkuu akili yako iwe inafanya kazi, unaambiwa kwenye Passport anaonekana dumena nyie mkifukuzwa kwao mnaanza kulalamika "ooohh wazungu wanatubagua" sijui nini.."wabaguzi wa rangi"
Google tu mkuuMwenye picha ya hizo jinsia zinavyokua anitumie pm, hii kitu hainiingii akilini kabisa, ukishakua transgender sehemu za siri zinaonekanaje? mwenye picha tafadhali, tampatia efu 10.
Nimegoogle zinakuja picha za sura tu ambazo sina interest nazoGoogle tu mkuu
Tatizo passport aliyoitumiaWangemuacha tu...
Ladyboys.THAILAND WAMJAA SANA WANAITWA BOYGIRLS