sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
Mgeni mmoja kutoka nchini Italia aitwaye David E. Catena, jana alizuiwa Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume (AAKIA) Zanzibar na kurudishwa nchini kwao baada ya kubainika kujibadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke huku Passport yake ikionyesha kuwa ni mwanaume.
Hayo yalibainika uwanjani hapo baada ya kukaguliwa hati yake ya kusafiria kuonesha ni mwanaume huku sura na umbo lake likionekana la kike tofauti na kwenye hati.
Hayo yalibainika uwanjani hapo baada ya kukaguliwa hati yake ya kusafiria kuonesha ni mwanaume huku sura na umbo lake likionekana la kike tofauti na kwenye hati.