Atimuliwa nchini kwa kubadili jinsia

Atimuliwa nchini kwa kubadili jinsia

Kimsingi alipaswa abadilishe passport yake na iseme kwamba ni mwanamke, na picha aweke mpya, otherwise hakuna mwanausalama atakaemruhusu mwanamke kutumia passport ya mwanaume.
 
Halafu mtu anasema waafrika muda wote wanawaza ngono.
 
Akili yangu inaniambia hajafukuzwa kisa kubadili jinsia ila amefukuzwa kwakua passport yake na muonekano haviendani.
wakat anazama kutoka mfukoni akajikuta ametoa passport halisi wakati ile aliyo tarajia kuitoa sio hiyo
 
wakat anazama kutoka mfukoni akajikuta ametoa passport halisi wakati ile aliyo tarajia kuitoa sio hiyo
Ujinga wake pia.

Ushahidi wa past life unatembea nao wa nini
 
SHIDA SIOKUJIBADILISHA N PAMOKA NA MATUMIZI YASIOELEKEZI MWILINI MWAKE AYAJAIDHINISHWA

VIPI WALE WALIOJAA PALE DARAJANI NA VIDOLE JUU KABISA WANACHEZESHA MAKALIO NA N WANAUME HAWA TUNAWARUDISHA WAPI

KAZIKUBWA SANA
 
Kisiwani hakuna mashoga?
Wengiii ilebiashara inalipa kuliko madawaakulevya MKUU yaani mpakanaogopaga darajani wanajishebedua live kaka nione basii jicho laupabde mikono inaningininiaaa astakafullilah
 
Mkuu akili yako iwe inafanya kazi, unaambiwa kwenye Passport anaonekana dume
lakini mbele ya ofisa wa uhamiaji kasimama jike, si angebadili kila kitu?
kwa mujibu wa mwandishi ni kwamba jamaa karudishwa kwa sababu huyo jamaa inasemekana alibadilisha jinsi,ina maana vibali vyote alikuwa navyo,hapa huitaji akili nyingi kuelewa..alikuwa na passports mbili hiyo ya kiume na anayotumia sasa ya kike,ila alikosea kutoa ya kwanza akatoa ya zamani ya kiume,akaingia tena mfukoni akatoa ya kike,ndipo maofisa wakabaini kwamba jamaa alibadiri jinsi na kumrudisha!!poor maofisa uhamiaji!!!
 
Huyu hawajamzuia kwa kumbagua nadhani. Ni kuwa tu kwa kuwa amejibadilia snaa uso tena hasa kwa plastic surgery then hafananii na picha ya kwenye passport. Ilibidi aweke picha nyingine ili isimletee shida
 
bangi kweli kweli "" usikute ni li jasusi "".. alikuwa anasubiri nini "" kutumia pass nyingine ambayo Ina huo muonekano wake wa sasa ""!? foolish
ni actress maarufu huko kwao na hata zanzibar walikuja kushoot filamu yao moja nadhani ni documentary wapo kama watu 80 yeye ndio kamiss na humo magasho kibao ila wao wako kama waonekanvyo kwenye hati zao
huyu alipohojiwa anasema yuko katika hatua za mwisho za kukibadili jinsia yaani kufyekwa kigegedo ili apachikwe kigegeduliwa
 
kwa mujibu wa mwandishi ni kwamba jamaa karudishwa kwa sababu huyo jamaa inasemekana alibadilisha jinsi,ina maana vibali vyote alikuwa navyo,hapa huitaji akili nyingi kuelewa..alikuwa na passports mbili hiyo ya kiume na anayotumia sasa ya kike,ila alikosea kutoa ya kwanza akatoa ya zamani ya kiume,akaingia tena mfukoni akatoa ya kike,ndipo maofisa wakabaini kwamba jamaa alibadiri jinsi na kumrudisha!!poor maofisa uhamiaji!!!
unakuwaje na pasport mbili?
 
Back
Top Bottom