Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu