HahaHa basi sawaChula
Kuna mkanganyiko hapa, miseme 2 imekuja mipya kwa pamoja,
vijana wa mjini wanaita msambwanda
Kuna mkanganyiko hapa, miseme 2 imekuja mipya kwa pamoja,
Sukari
Churaa
Huyo mimi namona ni chura
Tena original
Ila sina neno kama wewee umeona ni sukari
Mimi mwenzenu sielewi maana ya neno 'chura' linavyotumika...Tuache maana halisi ya chura lakini nimesikia Simba Sports Club nao wanaitwa 'chura'...Halafu, yule mwanamuziki Snura naye aliimba wimbo wa 'chura' ukiwaonyesha wanawake wanacheza kwa kukiuka maadili...halafu naona wanawake wenye 'makalio makubwa' nao wanaitwa 'chura'...halafu nikaona tena mwanamke akiwa nusu uchi naye anaitwa 'chura' ...sasa kwa yote haya 'which is which'?!