masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,171
nimestaajabu baada ya kujua jambo hili
mapenzi yanaua nguvu sana
😢😢 njoo nikupelekemi pia nishashindwa kufika mbali kwa sababu ya kipochi😪
uko sure utanifikisha mbali?😆😢😢 njoo nikupeleke
wanaofanya mazoezi watakwambiaKila mtu kwa nafasi yake anaweza kufika mbali au level za kimataifa, tusiwape pressure au kuwapangia wengine kufika mbali wakati sisi tumeshindwa. Qumer mnapenda kuisingizia sana.
Ndio labda wewe ndiyo upaone karibuuko sure utanifikisha mbali?😆
ni wahuni sanaaaMimi naona ni kwa sababu ya kukosa management nzuri.
Wasanii wasio na mgt wengi huishia kupoteza kwenye ramani.
Kikubwa ni kuwa na management nzuri itakayo mfanya athletee ajitume zaidi na kukua kwenye career yake
kabisaaaNi kweli mm nacheza mpira for fun Ila siku nikimkunja mchuchu nakua mzigo uwanjani
ulikibania au??🤣mi pia nishashindwa kufika mbali kwa sababu ya kipochi😪
usije ukanipitisha shortcuts maan nataka kufurahia kila hatua ya uumbaji 😜Ndio labda wewe ndiyo upaone karibu
acha tu mjukuu wangu na na nachanganyikiwa😔😆ulikibania au??🤣
Huo sasa ujuaji tulia na uone 🤪usije ukanipitisha shortcuts maan nataka kufurahia kila hatua ya uumbaji 😜
nimetoa tahadhari tu☺️ sitaki shortcuts ni mwendo wa step by step mpka mwisho wa safari💃Huo sasa ujuaji tulia na uone 🤪
Fire 🔥nimetoa tahadhari tu☺️ sitaki shortcuts ni mwendo wa step by step mpka mwisho wa safari💃
hapana haufananii ila wew ni kajanja kajanja 🤭Fire 🔥
Hivi nafanania shotikatiii?