Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Kwanza hii story unaipenda kweli et tangu una miaka minne ulianza kutafakari habari za mungu....tafuta wa kuwaongopea.

Halafu bado wewe ni mfuata mkumbo tu.
Sina haja ya kumongopea mtu, uongo wa hivyo hauna faida wala hasara, sasa kwanini nijisumbue nao?

Halafu kitu kingine, kama ukiniuliza swali lazima ni kujibu, lakini kuamini au kutokuamini juu ya jibu langu ni hiari na si lazima.
 
Kama unajua kuna kitu kinaitwa hiari basi usingekuwa unaendelea kubishana kuhusu suala la imani wakati wewe hutaki habari za imani mwenye unasema unataka kuelewa,wanaoamini ni hiari yao kama ilivyo kwako ni hiari kwako kutoamini.

Hiyo story yako ya miaka minne nimeiona Mara kwa Mara ukiisema ila nilikuwa naipotezea tu.
 
Baada ya kupita hizo hiyari na lazima, tunatakiwa kutafuta ukweli.
 
Unafikiri kwanini wewe haukuwa agnostic na ukawa atheist? ni ukweli ambao wewe uliupata na ndiyo ukawa atheist na si vinginevyo?
 
Una mantiki mbovu inayokusababishia ugumu wa kuelewa kitu,....hebu rudia post za nyuma, utapata majibu.
 
Usijidanganye Mkuu, kitu ushindwacho kukithibitisha haimaanishi hakipo bali upeo wako mdogo ndio umeshindwa kutambua uwepo wa kitu hicho.
So nyinyi mna upeo mkubwa...ndio maana mmetambua???
 
........alimuumba ili kuthibitisha uweza, nguvu, na mamlaka yake kwa mwanadamu
Alikuwa haitaji kufanya hivyo.... kuthibitisha. Hiyo sio njia ya kuthibitisha.... ingekuwa ni uthibitisho tusingekinzana leo hii.
 
.........To prove his existence almighty God allowed Satan to destroy your mind so as atheist would accept Existence of God through your Delivery..
If he allows satan to destroy our minds so why does God is concern about us?? He made it possible for satan to win.. if he wins why the blame is on us and not satan??
 
......satan will never win
 
mtu aliyesoma biblia vzr akamaliza anAjua kwann Mungu yupo ila hawa wanafundishwa meditation wao wanaamini ktk mungu jua na ndo biblia iliwatabiri vzr sn na tulionywa kabisa mapema...Mungu alikua wise enough kutupa baadhi ya vitabu vya unabii wa siku za mwisho yaan utabiri wa miaka zaid ya 1000mbele huko akijua tu watakuja watu ambao watajifanya watabe lkn kuonyesha mimi kiboko nakutabiria ya mbeleni miaka mingi sana mbele lkn wao watashindwa kujitabiriwa kesho yao tu ipoje?haya ya kuabudu miungu yapo toka zmn na mara kadhaa Mungu alionya...kushindwa kusoma biblia vzr kumeleta shida kubwa watu wanaangamia kwakukosa maarifa leo hii mtu hajui ht mafungu kumi kwenye biblia ila anafundishwa kupinga biblia ili kupokea imani nyingine simple coz hakuijua vzr lzm haone chenga chenga....yataibuka mengi sn ila mafunzo yote mtapinga ila pale kwenye kitu kinaitwa unabii ndo Mungu anaprove yupo..
 
BigBros...umeongea ukweli mkavu, ambao hawa Atheists wanajaribu kuukataa, they are not free thinkers as they claim to be.
Hawa waigaji tu. Hakuna lolote. Wanatazama tv na michezo ya kizungu kisha wanaiga bila ya kuelewa chochote.
 
mtu aliyesoma biblia vzr akamaliza anAjua kwann Mungu yupo ila hawa wanafundishwa meditation wao wanaamini ktk mungu jua na ndo biblia iliwatabiri vzr sn na tulionywa kabisa mapema...Mungu alikua wise enough kutupa baadhi ya vitabu vya unabii wa siku za mwisho yaan utabiri wa miaka zaid ya 1000mbele huko akijua tu watakuja watu ambao watajifanya watabe lkn kuonyesha mimi kiboko nakutabiria ya mbeleni miaka mingi sana mbele lkn wao watashindwa kujitabiriwa kesho yao tu ipoje?haya ya kuabudu miungu yapo toka zmn na mara kadhaa Mungu alionya...kushindwa kusoma biblia vzr kumeleta shida kubwa watu wanaangamia kwakukosa maarifa leo hii mtu hajui ht mafungu kumi kwenye biblia ila anafundishwa kupinga biblia ili kupokea imani nyingine simple coz hakuijua vzr lzm haone chenga chenga....yataibuka mengi sn ila mafunzo yote mtapinga ila pale kwenye kitu kinaitwa unabii ndo Mungu anaprove yupo..
si watajifanya watabe.... tatizo lipo hapa. Masumulizi ya masumilizi... hapa ndio kwenye utata. A kamsimulia B na B kamsimulia C na C kamsumulia D ...... mpaka Z..... hauoni kama pataleta shida hapa??? Kwanin niamin anachokisema Z ni kilekile alochokisema A.....(unafikir possibility ya kucorrupt haipo hapa)
 
mtu aliyesoma biblia vzr akamaliza anAjua kwann Mungu yupo ila hawa wanafundishwa meditation wao wanaamini ktk mungu jua na ndo biblia iliwatabiri vzr sn na tulionywa kabisa mapema...Mungu alikua wise enough kutupa baadhi ya vitabu vya unabii wa siku za mwisho yaan utabiri wa miaka zaid ya 1000mbele huko akijua tu watakuja watu ambao watajifanya watabe lkn kuonyesha mimi kiboko nakutabiria ya mbeleni miaka mingi sana mbele lkn wao watashindwa kujitabiriwa kesho yao tu ipoje?haya ya kuabudu miungu yapo toka zmn na mara kadhaa Mungu alionya...kushindwa kusoma biblia vzr kumeleta shida kubwa watu wanaangamia kwakukosa maarifa leo hii mtu hajui ht mafungu kumi kwenye biblia ila anafundishwa kupinga biblia ili kupokea imani nyingine simple coz hakuijua vzr lzm haone chenga chenga....yataibuka mengi sn ila mafunzo yote mtapinga ila pale kwenye kitu kinaitwa unabii ndo Mungu anaprove yupo..
Na aliyesoma Quran vizuri atakwambia precisely the same things u have written here..... so who is telling the truth?? Hamuoni kwamba mnaconfuse watu...kulingana na huu utofauti??? Una watu wawili ambao wapo identical kwenye understanding... ila mmoja ni mkristo kindaki ndaki na hakubaliani na uislamu, mwingine ni muislamu kindaki ndaki na vile vile hakubaliani ukristo.... sasa utawaambiaje watumie akili wakati mpaka hapo wameshazitumia akili zao...... umezaliwa mama yako mkristo baba mkristo.... utafuata ukristo. Same as muslims.... mnajua kwamba imani za Dini kwa kiasi kikubwa zimepunguza civilization, tafiti za kisayansi??? Mnajua kwamba in a muslim world wenye itikadi kali hawajafikisha even 2% ya tafiti za kisayansi..., wanaogopa watamkufuru Mungu.
 
Hakuna nchi itakayoendelea kwa kutegemea mawazo ya kutoka nje, tamaduni za nje, hata teknolojia za nje. Nchi huendelea kwa kukuza, kulinda na kuheshimu tamaduni zake hapo tunakuta lugha na teknolojia ya eneo husika hii inamaanisha hata kuasili lugha ngeni kinaweza kua kikwazo cha maendeleo.

Hizo nchi zilizoendelea hebu angalia kiwango chao cha kuona ikiwa Mungu yupo au hayupo mfano nchi za Scandinavia.

Unachozungumzia ni Post Colonial, yaani Nchi kulinda na kuhifadhi utamaduni wake ni muhimu katika Culture Maintanance lakini yaweza kuwa na mchango mdogo kwenye maendeleo ya Nchi. Technology mara nyingi huletwa na wageni baada ya kuleta fikra mpya, Industrial revolution imetokea baada ya Collonialism kuisha. Yaani nchi ziliweza kuinterract because of Collonialism na eventually kushare mambo mengi ya technology na hatimaye tumefika hapa tulipo. Collonialism played a major role in Industrial revolution.
 
Hizo nchi za Scandinavia zote zilishawahi kutawaliwa.
 
mtu aliyesoma biblia vzr akamaliza anAjua kwann Mungu yupo ila hawa wanafundishwa meditation wao wanaamini ktk mungu jua na ndo biblia iliwatabiri vzr sn na tulionywa kabisa mapema...Mungu alikua wise enough kutupa baadhi ya vitabu vya unabii wa siku za mwisho yaan utabiri wa miaka zaid ya 1000mbele huko akijua tu watakuja watu ambao watajifanya watabe lkn kuonyesha mimi kiboko nakutabiria ya mbeleni miaka mingi sana mbele lkn wao watashindwa kujitabiriwa kesho yao tu ipoje?haya ya kuabudu miungu yapo toka zmn na mara kadhaa Mungu alionya...kushindwa kusoma biblia vzr kumeleta shida kubwa watu wanaangamia kwakukosa maarifa leo hii mtu hajui ht mafungu kumi kwenye biblia ila anafundishwa kupinga biblia ili kupokea imani nyingine simple coz hakuijua vzr lzm haone chenga chenga....yataibuka mengi sn ila mafunzo yote mtapinga ila pale kwenye kitu kinaitwa unabii ndo Mungu anaprove yupo..
Pumba tu
 
Unachozungumzia ni Post Colonial, yaani Nchi kulinda na kuhifadhi utamaduni wake ni muhimu katika Culture Maintanance lakini yaweza kuwa na mchango mdogo kwenye maendeleo ya Nchi. Technology mara nyingi huletwa na wageni baada ya kuleta fikra mpya, Industrial revolution imetokea baada ya Collonialism kuisha. Yaani nchi ziliweza kuinterract because of Collonialism na eventually kushare mambo mengi ya technology na hatimaye tumefika hapa tulipo. Collonialism played a major role in Industrial revolution.

Unaposema teknolojia huletwa na watu wapya hao watu wapya wao wanakua wameitoa wapi? Ni kupitia utamaduni pekee ndiyo teknolojia tutaikuza wakoloni walifika walikuta wapare wanajua kufua chuma tayari na Uvinza chumvi inavunwa.

Kusema ukoloni umesaidia interaction ni kuficha hoja yako, biashara ndiyo zilileta huu mwingiliano, hao wakoloni/ watawala/ Wageni walipokutana na watwana/ watawaliwa/ Waafrika unadhani muingiliano wao ulimruhusu Mwafrika apate lolote lenye manufaa juu ya teknolojia?

Huyo mgeni akikupa mtazamo/ dini utakua na imani nayo?
 
Back
Top Bottom