Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Utaniambiaje kuwa huna la kjadiliana na mimi kwamba wewe unajadili usahihi na kutokuwa sahihi wakati wewe ndio wa kwanza Kuni quote!! Labda useme ulivamia swali bila kulielewa na ulivyojibu hilo swali hukuonesha usahihi ni upi.
Nimeanza ku quote kabla hujanieleza kwamba huzungumzii usahihi au kutokuwa sahihi.

Unajua kusoma? Unajua kufuatilia majibizano katika thread?

Sasa wewe mtu hujali kama kitu kiko sahihi au si sahihi, unajali wingi wa watu.

Sasa mimi nisiyejali wingi wa watu, ninayejali usahihi wa hoja, nitaanza wapi kujadiliana nawe?

Nitakukuta kwenye kikundi cha wajinga wengi wanaosema jua linazunguka dunia, nitakwambia hapana, dunia inazunguka jua.

Utasema mbona hapa wengi tunasema jua linazunguka dunia?

Kwa msingi wako wa kutojali usahihi wa hoja, na kuangalia wingi wa watu wanaokubali kitu, nitakuwa sina cha kujadiliana nawe.

Ndiyo maana nakwambia, kama hujadili usahihi wa hoja, sina cha kujadiliana nawe.

Nilifanya makosa kufikiri una uwezo wa kuweza kujadiliana nami.
 
".....watu wanaoamini Mungu (wanaamini amini tu, hawachunguzi kwa kina mambo) kuliko wasioamini na wanaochunguza."

Hayo hapo juu ndio maneno yako yaliyonifanya niseme kuwa unawazungumzia hao watu kama vile ni kakundi tu kadogo cha watu,yani kwamba katika dunia hii watu wanaoamini Mungu ndio watu wanaoamini tu mambo hawayachunguzi halafu kwamba et wasioamini Mungu ndio watu wanaochunguza mambo. Hapo ndipo nikasema hoja yako haina uhalisia.

Sasa wewe huo wingi unaozungumzia sijui ni wingi upi.
 
Unataka kujadili usahihi wa mambo?

Nilishasema sina haja ya mjadala na mtu asiyetaka kujadili usahihi wa mambo.

Kwa sababu, kama hatujadili usahii wa mambo, tutajadili nini sasa?

Unataka tujadili watu wengi wanaamini nini?

Umenielewa pingamizi langu?

Kama hutaki kujadili usahihi wa mambo, sitaki mjadala nawe.

Kama unataka mjadala nami, kubali kwamba unataka kujadili usahihi wa mambo.

Unataka kujadili usahihi wa mambo?
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Kwa sababu dini hizi zililetwa na wageni ili kurahisisha kututawala.
KAMA WALITUTAWALA UNADHANI WALILETA DINI NZURI?
Haohao walioleta makanisa na misikiti, leo wanasema wanaume tuoane, wanasema si lazima kuvaa nguo. Yaani wanakana mafundisho yao wenyewe. Ya nini kuwaamini?
 
Unataka kujadili usahihi wa mambo?
Nilishasema sina haja ya mjadala na mtu asiyetaka kujadili usahihi wa mambo.
Kwa sababu, kama hatujadili usahii wa mambo, tutajadili nini sasa?
Unataka tujadili watu wengi wanaamini nini?
Umenielewa pingamizi langu?
Kama hutaki kujadili usahihi wa mambo, sitaki mjadala nawe.
Kama unataka mjadala nami, kubali kwamba unataka kujadili usahihi wa mambo.
Unataka kujadili usahihi wa mambo?
Ulidakia kujibu swali bila kulielewa na hata hivyo nishaeleza ni vp suala la wingi wa watu lilivyoanza na kuonesha jinsi wingi huo unafanya majibi yako kutokuwa sahihi bila kujari hao wanaosema Mungu yupo wako sahihi au hawako sahihi.
 
Ok tujadili usahihi wa mambo kati ya kuswali eid leo au kesho kupi ni sahihi?

Sina muda wa kujadili tu usahihi wa mambo.
 
Unajua tofauti ya "kujadili tu usahihi wa mambo" na "kujadili usahihi wa mambo tu" ?
 
Neno "Tu" nimelitumia mie baada ya wewe kuwa unasisitiza kutaka kujadili usahihi wa mambo pasina kueleza ni mambo yapi hayo,ndipo nikasema mie sipo hapa kujadili tu usahihi wa mambo. Sasa kama hujui maana ya neno "Tu" sema nitakueleza.
 
Hakuna tofauti hapo kwa sababu kujadili usahihi wa mambo tu pasina kueleza hayo mambo yenyewe ni yapi hakuna tofauti na kujadili tu mambo.
 
Wewe kipofu huwezi kuona na huna la kujadiliana nami kwa kuwa hutaki kujadili usahihi wa mambo.

Waumini wa JF hamna hoja.

Nilipotea, nikarudi nikafikiri mna jipya.

Hamna jipya. Mjadala nanyi ni kupoteza muda.

Sasa narudi kusoma vitabu vyangu zaidi, labda nitaambulia kipya.

Kwa sasa nasoma "The Reason for God, Belief In An Age of Skepticism" cha Mchungaji Timothy Keller, labda anaweza kuwa na argument za kueleweka, au angalau nikajua kitu kipya.

Napenda sana kujua argument za upande wa waumini, ila waumini wa JF mna utapiamlo wa akili hamna argument.

Hapa JF kubishana na mtu anayesema hajali usahihi wa mambo naona nitajipaka shombo la ujinga bure.
 
Tangia hapo ni mjinga na ndio maana unasoma sana vitabu ila unaishia kuongeza list tu la vitabu ulivyosoma ukija humu unakuja na yaleyale. Mtu ambaye anataka kujadili usahihi wa mambo pasina kueleza mambo gani anayotaka kujadili usahihi wake huyo mtu anakosaje kuwa mjnga?

Yani mtu ambaye hubadiliki huna hoja zaidi ya kudai kuthibitishiwa uwepo wa Mungu,hiyo ndio hoja yako miaka yote hakuna nyengine ila bila aibu unajisifu kusoma sana vitabu. Yani umesoma saaaana vitabu halafu unakuja na mambo yaleyale ya zamani,sasa ndio umeongeza kusoma kwako vitabu?
 
Nakupeleka ignore list.

Nimekwambia huna cha kujadiliana nami kwa sababu hutaki kujadili usahihi wa mambo.

Unaning'ang'ania kama malaya anayetafuta mume kwa nguvu.
 
Duh! kama kawaida yako ukishashindwa hoja unaanza kuropoka tu,sasa mimi nikung'ang'anie kwa lipi au unauza biriani unafikiri kila mtu analitaka hilo biriani lako? we ndiye uliyeanza kuniquote ila matokeo yake et mimi ndio nakung'ang'ania!

Sikia nilishakwambia sipo hapa kujadili tu usahihi wa mambo sina muda wa kipuuzi wa namna hiyo.
 
Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu

Kwa paragrafu hzo juu teyari umesha kubali mungu yuko, fact Kuwa mungu yupo inaanzia kwa uwepo wa binadamu
 
Mkuu unaamini Mungu yupi wewe..?

Au nini maoni yako kuhusiana na kitu kinachoitwa Mungu..?
 
Unajisifu
Mimi hata grup langu la chuo wananiona wa ajabu hasa pale ninapo wapinga live kuhusu huyo mungu.
Lkn kwasasa naona kuna baadhi wamebadilika na kuwa open mind.

Mwanzon unaonekana km jiti lililokosa adabu, lihuni lkn kadri unavyowatemea facts wakaanza kunielewaa.

Sasa tunaheshimiana na wengi kwasasa hawajishughulishi na mambo ya imani km zaman
Kwenye kwa ujinga wako wako wa kupotosha watu! Kweli hata unachosomea chuoni haitakusaidia bora urudi mtaani
 
Acha hizo
Unapo sema.hapo mwanzo kweli zungumIa hapo mwanzo..

Hapo sisi tulikuwa hatuvai nguo,mababu zetu walikuwa wanatembea uchi
So kuvaa nguo mpaka milegezo yote sio culture yetu

Hapo mwanzo sisi..mababu zetu walikuwa wakiabudu mababu zao chini ya miti nk
Huyo GOD/allah kaletwa na mashua hakuwepo huku

So kubali au kataa,,ila ukweli n kwamba hata hapo mwanzo..tamaduni zishaingiliwa na kupotea hazipo

Wao wameleta,dini,na elimu
Ni wakat wa sisi kuamka na kujitambua
Kama vipi vua nguo ujifunge ngozi au majani ndio utajua utamaduni wa kuvaa nguo uliletwa na mashua ama nini
 
Back
Top Bottom