Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Unatumia akili kweli ww au Chenga huu ujinga wako ungewashilikisha ndugu zako kwanza
 
Sasa bro logically something can not come from nothingness.... Pia huona uthibitisho wa kujileta kwake...na hakuna mwanadamu anayeweza eleza hili.... Ndio hapa tunasema uwezo wa mwanadamu wa juuu kabisa unapoishia. .ndipo Mungu anapoanzia.. .... God is real... A living God....

Umeshindwa kuthibitisha kwa hoja mwaswali yangu....Jion njema.
Universe nayo haina chanzo kama ilivyo binadamu

Unataka uthibitisho wa hakuna chanzo ni kwasababu vimejileta vyenyewe
 
Sasa bro logically something can not come from nothingness.... Pia huona uthibitisho wa kujileta kwake...na hakuna mwanadamu anayeweza eleza hili.... Ndio hapa tunasema uwezo wa mwanadamu wa juuu kabisa unapoishia. .ndipo Mungu anapoanzia.. .... God is real... A living God....

Umeshindwa kuthibitisha kwa hoja mwaswali yangu....Jion njema.


Kwaiyo logically ambayo ni consistency ndiyo haipwayi kwa Mungu ambaye hana chanzo??



God is real but where is he came from?

Did he came from nothing like the universe and human being as I claimed??
 
Sio kweli.. Kwa sababu sifa hizo zinazo mtaja huyo Mungu wenu mnayesema kuwa yupo zina jipinga zenyewe... Kujipinga kwa hizo sifa kuna dhihirisha kuwa suala la uwepo wa Mungu ni fiction
Kwa paragrafu hzo juu teyari umesha kubali mungu yuko, fact Kuwa mungu yupo inaanzia kwa uwepo wa binadamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom