Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Wapi nimemtaja binadamu katika mtiririko wangu wote tangu tuanze kueleweshana hatua kwa hatua?

Unaelewa kwamba dunia hii kama ilivyo hata ukiondoa watu wote, mabaya bado yatabaki tu?

Unaelewa mabaya hayategemei mtu?

Unaelewa kuna ma tsunami yanapiga na kuua viumbe kibao, bila ya kumtegemea mtu?
Kwanza nikuulize unajua kilichitokea kwa kizazi cha nabii Nuh
 
Hivi haya ma tsunami kwa nini yanapiga tu maeneo yenye pwani za bahari?
 
Kiranga acha uoga we unaheshimika Sana humu jukwaani! jibu swali niliokuuliza juu kwani swali kako nishakujibu
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Haya maswali unamuuliza nani Kiranga? Unamuuliza magagafu au unamuuliza Mungu?
 
Kwanza nikuulize unajua kilichitokea kwa kizazi cha nabii Nuh
Swali langu limeuliza, kutoka mapokeo yenu, kabla ulimwengu haujaumbwa, kabla mtu hajaumbwa.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kabla ya chochote kuumbwa, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

Hujajibu swali hili.

Ukianza kuniambia habari za nabii Nuhu, unaondoka nilipouliza, sijauliza manabii, nimeuliza kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya ynawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea.

Kiranga "Mabaya" ndio nini?
 
Naiuliza halaiki yote ya JF inayopenda kujibu.

Simuulizi Mungu, Mungu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.

Sasa mbona naona kama unajoji mambo ya uwezo wake? umeanzaje kufikiria uwezo wa kitu ambacho hakipo?
 
Mungu kwakua Muweza wa Yote kaumba ulimwengu ambao unawezekana kwa namna anayotaka yeye! swali je Mungu angeumba ulimwengu ambao hata kiranga ambaye anataka uwe,je Mungu angekua na hizo sifa za kuwa Muweza wa Yote na mjuzi wa Yote?
 
Magonjwa, vifo, wapendanao kutengana, ujinga, njaa, majanga ya kiasili, uonevu, wizi na mengine yanayofanana na hayo.

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao haya hayawezekani?

Hayo mambo ni mabaya kivipi?
 
Sasa mbona naona kama unajoji mambo ya uwezo wake? umeanzaje kufikiria uwezo wa kitu ambacho hakipo?
Jasusi wa hadithi James Bond hayupo, lakini naweza kufikiria uwezo wake kulingana na hadithi zake.

Jasusi wa hadithi Willy Gamba hayupo, ametungwa tu, lakini naweza kufikiria uwezo wake kulingana na hadithi zake.

Mungu wa hadithi hayupo, lakini naweza kufikiria uwezo wake kulingana na hadithi zake.

Hoja yako haina mantiki.

Unaweka hoja kwamba kisichopo hakiwezi kufikiriwa uwezo wake, nakuonesha kwamba hata characters wa hadithi, ambao hawapo, tunaweza kufikiria uwezo wao kwa mujibu wa hadithi.

Mungu naye ni character wa hadithi kama James Bond na Willy Gamba, hayupo.

Kutokuwepo kwake hakutuzuii kuweza kufikiria uwezo wake, kwa mujibu wa hadithi zake.
 
Mungu kwakua Muweza wa Yote kaumba ulimwengu ambao unawezekana kwa namna anayotaka yeye! swali je Mungu angeumba ulimwengu ambao hata kiranga ambaye anataka uwe,je Mungu angekua na hizo sifa za kuwa Muweza wa Yote na mjuzi wa Yote?
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Swali langu limeuliza, kutoka mapokeo yenu, kabla ulimwengu haujaumbwa, kabla mtu hajaumbwa.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kabla ya chochote kuumbwa, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

Hujajibu swali hili.

Ukianza kuniambia habari za nabii Nuhu, unaondoka nilipouliza, sijauliza manabii, nimeuliza kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya ynawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea.

Hujajibu swali.
Ungenijibu swali langu ungepata jibu zuri sana ila unkwepa kujibu na kustick kwenye point yako ambayo ishajibiwa. Labda nikuulize tena unajua kabla kuletwa Adam duniani hapakua na hizo gharika kama vimbunga na tsunam na dunia ilikua imetakasika?
 
Sasa mbona kama unalalamika yanaua watu, au kuna watu wanaishi baharini?
Swali lako halina mantiki, lingekuwa na mantiki kama ningesema yanaishia baharini.

Uliza tena, swali lenye mantiki.

Zaidi, kuna watu wanaishi baharini, kuna meli kibao baharini.

Very illogical question.
 
Ungenijibu swali langu ungepata jibu zuri sana ila unkwepa kujibu na kustick kwenye point yako ambayo ishajibiwa. Labda nikuulize tena unajua kabla kuletwa Adam duniani hapakua na hizo gharika kama vimbunga na tsunam na dunia ilikua imetakasika?
Ningekujibu swali gani?

Mimi nakuuliza kabla Mungu hajaumba ulimwengu, kwa mujibu wenu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote, ukiwamo ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Wewe unaniambia habari za Nuhu.

Mimi nimeuliza swali la kabla mtu hajaumbwa, wewe unaenda habari za Nuhu.

Haya, tuseme huyo Nuhu kakosea, Adam kakosea.

Aamewezaje kukosea? Ameweza kukosea kwa sababu ulimwengu ulioumbwa na Mungu unamuwezesha kukosea.

Sasa hapo ndipo swali langu linakuja.

Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao watu wanaweza kukosea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kukosea?

Hujajibu swali hili.
 
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
Mungu ambaye muweza wa Yote,Mungu ambaye njia zake hazichunguziki kaumba ulimwengu ambao Binadamu hatuwezi kuchunguza alichofikiria uwe, kwa kua njia zake hazichunguziki.
 
Back
Top Bottom