Unaelewa kwamba, kama una bastola nyumbani, na una uwezo wa kuua familia yako yote.
Na hata ukiamua usiiue familia yako yote, kwa sababu wewe ni baba mwema, uamuzi huo haukuondolei uwezo wa kuua familia yako yote?
Unaelewa ulichosema hapo ni sawa na kusema "Baba kaua familia yake yote, kwa sababu asingeua, asingekuwa na uwezo wa kuua familia yake yote"?
Unaelewa ukisema angefanya hivi asingekuwa ana uwezo wote, tayari umeshakubali hana uwezo wote?
Kwa sababu uwezo wote hauna mipaka.
Unaelewa hilo?
Unaelewa ushajiwekea contradiction hapo?