Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Bado hujatuonyesha hilo jambo.

Na hatusogei mbele mpaka uthibitishe kauliyako.
Mimi nimeshakuonyesha ata leo muingilie mkeo mbegu zikifika kwenye yai zikarutubishwa utapata mtoto , huyo wa mwanzo mbegu alizitoa nani kwenda kwa kwani ili apatikane huyo mtu wa kwanza ? hili kwangu mbona hakuna tena uthibitisho ni wewe kujibu swali
 
Kwahiyo una kubali ya kuwa kuna mwanzo sio ?

Safi kabisa,sasa ndio utuonyeshe kwanini hakuna wa mwanzo katika mtu na huku unakubali Yesu ni wa Mwanzo na wa Mwisho ?

Au unawasikisha mawazo ya Wakristo huku wewe ukiwa ni mkana Mungu ?
Hivi wewe akili yako iko timamu ? unajua kwanini natumia hayo maandiko ya biblia ili kupangua hoja zako baada ya kutaka mdau mmoja aamini AYA zako wakati sio muislamu , nakupa kile wengine wanachoamini ili nawe uamini ova
 
Ukisoma kwenye SPERM baada ya neno " ATOZOA" wamekupa maana ya manii hii hapa
MANII : seli za gameti za kiume zilizopevuka
Kabla ya tamko "Atozoa" tsmko manii na shahawa limetenganishwa na alama gani ? Hujaona hilo ?
 
Angalia huyu unauliza kutenganishwa wakati maana ya Manii imeshatolewa separately hivi shuleni uwa mnasoma nini ?
 
Mimi nimeshakuonyesha ata leo muingilie mkeo mbegu zikifika kwenye yai zikarutubishwa utapata mtoto , huyo wa mwanzo mbegu alizitoa nani kwenda kwa kwani ili apatikane huyo mtu wa kwanza ? hili kwangu mbona hakuna tena uthibitisho ni wewe kujibu swali
Ndio utuambie sasa ilikiwaje mpaka sisi tukatokea ? Mbona swali rahisi sana.

Tatizo unauwezo mdogo sana wa kufikiri ndio mana hata hili dogo linakushinda,rudi nyuma katika nasaba kisha ujiulize huyo wa mwanzo alitokana na nani ?

Pili,kuna wanao weza kuzaa na wasio weza kuzaa kwahiyo chanzo lazima.
 
Kazi ipo kweli,unafikiri alama iliyowekwa pale haina maana ?
Kazi unaileta wewe kabisa mambo ni rahisi, maana ya manii ipo na imeandikwa kwenye SPERM kule , ila wewe sijui unalazimisha kitu gani , unafikir wameandika kwa makosa ?hapana hiyo ndio maana yake na ina sifa yake ya kipekee tofauti na shahawa
 
Ndio utuambie sasa ilikiwaje mpaka sisi tukatokea ? Mbona swali rahisi sana.

Tatizo unauwezo mdogo sana wa kufikiri ndio mana hata hili dogo linakushinda,rudi nyuma katika nasaba kisha ujiulize huyo wa mwanzo alitokana na nani ?

Pili,kuna wanao weza kuzaa na wasio weza kuzaa kwahiyo chanzo lazima.
Mbona unalazimisha wa mwanzo lazima atokee bila mbegu ? Utaratibu ni huu bila mbegu hakuna mtoto hizo zingine ni story za pauka pakawa,hivi tulivyo ndivyo maisha yalivyo na yataendelea kuwapo hivi , hakuna wa mwanzo wala wa mwisho , tupo kama tulivyo ova
 
Kazi unaileta wewe kabisa mambo ni rahisi, maana ya manii ipo na imeandikwa kwenye SPERM kule , ila wewe sijui unalazimisha kitu gani , unafikir wameandika kwa makosa ?hapana hiyo ndio maana yake na ina sifa yake ya kipekee tofauti na shahawa
Wangetenganisha kwenye Kamusi. Nataka uniwekee ile maana ya mwanzo ya Shahawa na Manii kutoka katika ile kamusi uliyoitoa,kama mimi nilivyo piga picha kamusi.

Kuna maana na maneno ya ziada,huwezi kutenganisha kati ya Manii na Shahawa,ndio maana kila unachokuona unakidakia naona sasa umerukia tamko la ziaida ya "Atozoa". Jifunze kusoma kamusi na ala zinazotumika katika kamusi.

Silazimishi kitu wakati kila kitu kipo wazi.

Tunaposema msome huwa tuna maanisha,msome kweli.
 
Mbona unalazimisha wa mwanzo lazima atokee bila mbegu ? U
Acha utoto. Nakuuliza swali unakubali kuna chanzo ? Haka akili ya kawaida tu inakataa na akili iliyo salama haiwezi kukubali ya kuwa wa mwanzo atokee kwa mbegu lazima atokee bila mbegu ili uzao uendelee,ndio maana utaruka ruka tu mpaka unaingia kaburini hutaweza kuonyesha binadamu tulitokea vipi.

Ni ipi asili ya mwanadamu ?

Utaratibu ni huu bila mbegu hakuna mtoto hizo zingine ni story za pauka pakawa,hivi tulivyo ndivyo maisha yalivyo na yataendelea kuwapo hivi , hakuna wa mwanzo wala wa mwisho , tupo kama tulivyo ova
Umethibitisha ujinga wako ulipo na umeshindwa kujibu swali hili,na nilifanya hivi ili lengo litimie,na limetimia.

Kazi yangu imeisha.

Nipo ....
 
Wangetenganisha kwenye Kamusi. Nataka uniwekee ile maana ya mwanzo ya Shahawa na Manii kutoka katika ile kamusi uliyoitoa,kama mimi nilivyo piga picha kamusi.

Kuna maana na maneno ya ziada,huwezi kutenganisha kati ya Manii na Shahawa,ndio maana kila unachokuona unakidakia naona sasa umerukia tamko la ziaida ya "Atozoa". Jifunze kusoma kamusi na ala zinazotumika katika kamusi.

Silazimishi kitu wakati kila kitu kipo wazi.

Tunaposema msome huwa tuna maanisha,msome kweli.
Kamusi umeleta wewe kutilia nguvu kauli yako kuwa Shahawa ndio manii , bahati nzuri SPERM imetoa maana moja tu manii ambayo ni seli , lakini kwa vile ulikuja kibubusa unalazimisha mambo , mimi nakukaanga kwa mafuta yako mwenyewe , jifunze kusoma neno kwa neno

SPERM sio SEMEN ndio maana nikakwambia manii sio shahawa , ili liko uchi kabisa
 
Thibitisha mungu yupo
Naona unajitoa ufahamu,mwenzako amelivagaa hapa swali nililokuuliza ukakimbia kilicho mkuta amehitimisha kwa neno la "........... ova." mwisho wa maelezo yake.

Msimamo wangu uko pale pale,jibu maswali niliyo kuuliza,ili tuendelee na pale tulipoishia.

Kamusi inasema na kutilia mkaO ya kuwa Sperm : manii ; shahawa. Hivi ndivyo Kamusi imeanza kuelezea tamko SPERM.

Leta Kamusi yako ionyeshe SHAHAWA SIO MANII.

Nipo.....
 
Acha utoto. Nakuuliza swali unakubali kuna chanzo ? Haka akili ya kawaida tu inakataa na akili iliyo salama haiwezi kukubali ya kuwa wa mwanzo atokee kwa mbegu lazima atokee bila mbegu ili uzao uendelee,ndio maana utaruka ruka tu mpaka unaingia kaburini hutaweza kuonyesha binadamu tulitokea vipi.

Ni ipi asili ya mwanadamu ?

Umethibitisha ujinga wako ulipo na umeshindwa kujibu swali hili,na nilifanya hivi ili lengo litimie,na limetimia.

Kazi yangu imeisha.

Nipo ....
Wewe jamaaa kwani uelewi , nimekwambia kila kitu kina sababu yake kutokea , chanzo ndio nini ? sababu yangu kutokea ni mbegu kurutubishwa na Yai, unataka Asili ya binadamu ipi ,binadamu alivyo ndivyo alivyo , hakuna mtu wa kwanza wala wa mwisho kwasababu anakosa sifa ya kurutubishwa kwa yai lake
 
Naona unajitoa ufahamu,mwenzako amelivagaa hapa swali nililokuuliza ukakimbia kilicho mkuta amehitimisha kwa neno la "........... ova." mwisho wa maelezo yake.

Msimamo wangu uko pale pale,jibu maswali niliyo kuuliza,ili tuendelee na pale tulipoishia.

Nipo ....
Bado hujathibitisha mungu yupo
 
Kamusi inasema na kutilia mkaO ya kuwa Sperm : manii ; shahawa. Hivi ndivyo Kamusi imeanza kuelezea tamko SPERM.

Leta Kamusi yako ionyeshe SHAHAWA SIO MANII.

Nipo.....
Mbona unaangaika na kamusi umeitoa mwenyewe , mimi nakujibu hapo kwanza maana ya manii na maana ya shahawa zimetamkwa tofauti mbona liko wazi , kwanini tuongeze jambo jipya bila ili kwisha
 
Wewe jamaaa kwani uelewi , nimekwambia kila kitu kina sababu yake kutokea , chanzo ndio nini ? sababu yangu kutokea ni mbegu kurutubishwa na Yai, unataka Asili ya binadamu ipi ,binadamu alivyo ndivyo alivyo , hakuna mtu wa kwanza wala wa mwisho kwasababu anakosa sifa ya kurutubishwa kwa yai lake
Nacheka sana. Unapotatua jambo huwa unaangalia nini ? Chanzo cha tatizo au sababu ya kutokea tatizo ? Na ipi tofauti kati ya "sababu" na "chanzo" au kwako wewe tamko "chanzo" halipo ?

Husemwa hivi,kila sababu ina chanzo lakini si kila chanzo kina sababu.

Kati ya Yai na Kuku lipi huanza ? Jibu swali,usikimbie swali hili.

Hivi kule nilipokuuliza kwamba unakubali kama kuna mwanzo,baada ya kusema Yesu ndio Alfa na Omega ? Kisha nikakuuliza una maanisha au ulikuwa una wanukulia Wakristo ? Sikuona unajibu swali hili ? Au kama umejibu naona nikumbushe.
 
Mbona unaangaika na kamusi umeitoa mwenyewe , mimi nakujibu hapo kwanza maana ya manii na maana ya shahawa zimetamkwa tofauti mbona liko wazi , kwanini tuongeze jambo jipya bila ili kwisha
Kijana vingekuwa tofauti usinge kuta tamko shahawa kwenye maana ya manii wala tamko manii kwenye maana ya shahawa. Huelewi wapi ?

Yaani mfano,ukute meza kwenye maana a kiti na ukite kiti kwenye maana ya meza. Hili halipo kijana,na jambo liko wazi.

Niwekee maana ya Shahawa na Manii kutoka katika Kamusi uliyo toa,yaani piga picha tuone,usitumie maana niliyokuwekea kwani iko dhdi yako.

Nasubiri picha ya kitabu ulipo toa maana ya SHAHAWA na MANII. Tuone maana mkiachiwa ndio mnazidi kudandia mambo na kuwa wajinga.
 
Back
Top Bottom