Kwanza ulikuta nahitaji kuthibitishiwa, ulitakiwa uthibitishe, umeshindwa kuthibitisha sasa unaanza kulia lia.
Pili, sijakwambia kama nimekujibu post zako, bali hilo swali ulilouliza nimekujibu post chache za nyuma. Sijakwambia kama nimejibu ule mvurugano wako uliouweka ili ije ionekane kuwa hujajibiwa. No matter how long your post was, nilikuwa nakujibu, iweje sasa uweke moja moja na usiweke zote? Nimekwambia ziweke zote kwa pamoja ili nikujibu kama ilivyokuwa hapo awali. Umeshindwa, inaonekana ulikuwa na lengo lako.
Kwa mara ya mwisho; THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
Nikiona umethibitisha nitarudi, nikiona unaepuka swali na kuandika mengine nitajua kuwa unaepuka maswali na itabidi niendelee kukwambia uthibitishe hadi utakapothibitisha