Poa.hili jibu Lina dhihirisha kwamba Mungu hayupo
Poa.hili jibu Lina dhihirisha kwamba Mungu hayupo
Ndio Kwasababu hayupo
Kina kipangiwa na kushurutishwa na kukadiriwa. Allah aliyejuu amekadiria mambo yetu, na kuna makadirio mengine huwa katika sharti, kwamba ukifanya kadha itakuwa kadha.Kwa hiyo Mungu hatupangii tena maisha !?
Simnasemaga kuwa maisha yetu yamesha andikwa katika vitabu na tayari tumesha pangiwa jinsi tutakavyo ishi duniani
Nyinyi watu Mbona huwa hamueleweki !?
Yaani Hoja zao zinamtoa Mungu ktk ukamilifu wakati maandiko Yao yanasema kwamba Ni mkamilifu ..Hawa watu bwanaUtakua hujapanga kwasababu huna ujuzi wote na uwezo wote wa kupanga vitu vitakavyotokea 100%. Pengine hilo tukio la mtoto kuzima tv ulianza kubashiri baada ya kumuona mtoto ameshika remote au anaisogelea Tv, lakini mungu alikwisha jua tukio hilo litatokea hata kabla wewe hujazaliwa na ndio maana wewe na huyo mtoto hamkuweza kuliepuka kwasababu lilishapangwa kua litatokea
Haya nijibu namimi swali langu
Uhru unakuja ukiwa hujapangiwa na kulazimishwa
Kwa hiyo wewe unayemuona mtoto anaizima TV ujuzi wako ni sawa na wa Mungu?Kujua sio kupanga. Mfano, unaweza kumuona mtoto ukasema "huyo atazima tv saivi" Akiizima TV manake wewe umepanga?
Ujuzi wangu sio sawa na wa Mungu.Kwa hiyo wewe unayemuona mtoto anaizima TV ujuzi wako ni sawa na wa Mungu?
Unalinganisha ujuzi wa mtu wenye mipaka na ujuzi wa Mungu mnaosema hauna mipaka?
Unalinganishq ujuzi wa mtu na Mungu mnayesema kaumba kila kitu?
Unaelewa kwamba kwa ulinganisho huu tu umeshamshusha huyo Mungu na kumfanya awe sawa na mtu?
Wapi imesema kuwa maisha yetu yamepangiwa KILA KITU mpaka vifo vyetu? Kina nani hao wanasema ivo?Oyaaa sihuwa mnasema kwamba maisha yetu ya hapa duniani tumeshapangiwa kila kitu mpaka vifo vyetu ..!?
Inaonekana hukusoma vizuri nilichokiandika. Wapi nimesema hapo kuwa anashindwa kujua kama wewe wa motoni au wa peponi? Au nimesema kuwa yeye hajakupangia kuwa utaingia peponi au motoni?Oyaaa Mbona haueleweki Mungu mjuzi wa yote mwenye ukamilifu anashindwa vipi kujua kwamba huyu na yule Hawa Ni wa motoni na huyu na yule Ni wapeponi !?
Yeye anajua kuwa wewe utaingia peponi au motoni. Wewe unajua?Unajichosha ndio kwanza tayari Mungu wako anajua kwamba wewe Ni mtu wa motoni au peponi Yaani Ni sawa sawa na wewe umpe mwanafunzi wako mtihani wakati unajua kabisa matokeo ya mtihani huo yatakuwaje Sasa hiyo ina maana gani !?