ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,720
Mbona mnajitekenya na kucheka wenyeweDawa yao ni hakuna kwenda mbele mpaka wajibi maswali kisha ndio tunaendelea.
Mbona mnajitekenya na kucheka wenyeweDawa yao ni hakuna kwenda mbele mpaka wajibi maswali kisha ndio tunaendelea.
Jambo sijakimbia niliona hutoi majibu ya kueleweka mpaka ukadai nauliza maswali mengi nilipo kuuliza suala la utume ambalo ulilionyesha katika lile andiko.Mambo ya AYA ndio atuyataki hizo AYA wape waumini wenzako , ndio maana jana nikakupa AYA hapa kuwa Yesu kasulubiwa na kufufuka na watu kawatokea ukaingia mitini,
Watu wanauwana hata kwa ajiri ya pesa utasema pesa ni ujinga au ujinga wao wenyewe?Ndio maana tunawaambia watu waache ujinga hiko wanachokipigania chenyewe akijiwezi , wale maisha waachane na upumbavu wa maandiko ya kipuuzi yenye kuwaletea madhara mpaka wanaharibu maisha yao kwa kuuana
Pesa aina akili wala kufikiri, iweje uilinganishe na muumba na muweza wa vyote? Mungu wako kama anavyojipambanua aje amalize tatizo lake mtakwisha , halafu tabu mnatupa sisi maana akili zenu mmekuwa kama matahira unavaaje bomu kisa Allah !!! ahahaaahahaWatu wanauwana hata kwa ajiri ya pesa utasema pesa ni ujinga au ujinga wao wenyewe?
Utume kawapa Yesu halafu unauliza maswali tena, ndio maana nikawa na mashaka na akili yako kwamba wewe utume unaonaje ? unataka uthibitisho gani wakati maneno yametoka katika vitabu vyenye pumzi ya Mungu mwenyewe tena amesema.lisiongezwe wala kupunguzwa neno , wewe.unapaswa uziamini AYA zile kuwa Yesu kasulubiwa sio kupiga piga chenga , kama huwezi kuziamini basi ata Quran usituletee kama uthibitisho wako, tena nakupa zawadi kuna manabii kibao wa kike japo huko mmefundishwa ni wanaume tu ndio manabii , soma upate mambo mapya usikariri hayo uliokuwa nayo tu utapata tabuJambo sijakimbia niliona hutoi majibu ya kueleweka mpaka ukadai nauliza maswali mengi nilipo kuuliza suala la utume ambalo ulilionyesha katika lile andiko.
Deni limebaki kwako juu ya uthibitisho wa yale maneno uliyoyaandika. Sasa hapo utaona mimi na wewe nani alikimbia.
Yaani hakuna hoja wala jambo la kunikimbiza humu ndani.
Nipo ....
Nimekwambia tatizo ni la watu wenyewe na ndiyo maana huweza hata kuuwana kwa ajiri ya pesa(makalatasi) ila mbona husemi tusitumie pesa tena ili tutatue tatizo la watu kuuwana kwa sababu ya pesa?Pesa aina akili wala kufikiri, iweje uilinganishe na muumba na muweza wa vyote? Mungu wako kama anavyojipambanua aje amalize tatizo lake mtakwisha , halafu tabu mnatupa sisi maana akili zenu mmekuwa kama matahira unavaaje bomu kisa Allah !!! ahahaaahaha
Ukimuua mtu kwa Pesa unakwenda JELA , maana hilo ni kosa, lakini huko katika Uislamu Mtu anamuua mwenzake eti Allah kasema, kuna mwengine anasema Mashia sio waislamu sasa Mashia wakisema wale wasuni sio waislamu , jambo hili ni lazima lifike mwisho ni Allah kushuka kumaliza mgogoro ndio maana hapa ukiua jela hakuna kusubir ufe sijui ukachomwe, tunakushughulikia barabara , sasa Allah kakaa huko waumini awaelewi tafasiri ashuke aje awapatanishe tumechoka na mauaji mara islamic state, boko haram, al shabab hawa wote wafuasi wa Allah wanasoma AYA wanauaNimekwambia tatizo ni la watu wenyewe na ndiyo maana huweza hata kuuwana kwa ajiri ya pesa(makalatasi) ila mbona husemi tusitumie pesa tena ili tutatue tatizo la watu kuuwana kwa sababu ya pesa?
1. Hivi wewe uelewi miaka 10 ya nini !!ndani ya SHAHAWA kuna ( MANII na maji maji ya seminal) hivi mpaka nikuchape viboko ndio uelewe , kiingereza kimekuwa tatizo kubwa kwako
Kwenye OXFORD LIVING DICTIONARY ukisikaa SEMEN ndio SHAHAWA , na ukisika SPERM ndio MANII , sasa basi
SEMEN( SHAHAWA)= SPERM( manii) + SEMINAL FLUID( maji maji ya Seminal)
hivi wewe hamnazo kumbe ahahahahahaah
Kwaio mtu wa mwanzo duniani alikuja baada ya mbegu za uzazi kufika kwenye yai kisha kurutubishwa?Ni mbegu za uzazi kufika kwenye yai kisha kurutubishwa huko
Duh! Ina maana hujui kama waislamu wana sharia?Ukimuua mtu kwa Pesa unakwenda JELA , maana hilo ni kosa, lakini huko katika Uislamu Mtu anamuua mwenzake eti Allah kasema, kuna mwengine anasema Mashia sio waislamu sasa Mashia wakisema wale wasuni sio waislamu , jambo hili ni lazima lifike mwisho ni Allah kushuka kumaliza mgogoro ndio maana hapa ukiua jela hakuna kusubir ufe sijui ukachomwe, tunakushughulikia barabara , sasa Allah kakaa huko waumini awaelewi tafasiri ashuke aje awapatanishe tumechoka na mauaji mara islamic state, boko haram, al shabab hawa wote wafuasi wa Allah wanasoma AYA wanaua
2.Unajadili kamusi, kwahiyo unataka tufate kamusi yako ya kiarabu , tunafata kamusi zenye watu wataalamu sio kamusi za wazembe
Niwekee kitabu chochote cha Mashia kinachosema shahada yao ni kama yetu sisi Masuni na uiandike hiyo shahada.3.Shahada ya mashia ni ile aliofundisha mtume kumkiri Allah na mtume wake sasa unataka nini tena , halafu kama unafikir kuitwa nchi ya kiislamu jambo dogo nenda kaitangaze Tanzania kuwa nchi ya kiislamu kama hautaonekana umechanganyikiwa , mnapiga kelele tu hamna lolote mashia wamejitahidi sana angalau Uislamu unaonekana upo kwa level ya kinchi
Safi kabisa,nini maana ya utume ? Hakuna binadamu anae toa utume kwa binadamu wenzie. Usiniambie kwa akili yangu,uliza ukweli ni upi kuhusu Utume. Huwa nawaambia mijadala ya kielimu ijadiliwe kielimu,hatuko kijiweni hapa na kusema kwani wewe unaonaje ?Utume kawapa Yesu halafu unauliza maswali tena, ndio maana nikawa na mashaka na akili yako kwamba wewe utume unaonaje ?
Safi kabisa,sijui Kiswahili cha SPERM ni nini ? Nisaidie aisee.Umekuja vizuri sana nataka kiswahili cha neno " SPERM"
1. Unajua lugha halafu ujui sayansi ya lile jambo ndio kuna faida gani ? Kwenye kiingereza kuna maneno mawili SPERM na SEMEN haya maneno nitofauti kabisa hilo ulijue , kiswahili kimetafasiri SEMEN kama SHAHAWA na SPERM kama MANII hivi vitu aviwezi kuwa sawa unafeli wapi wewe ungekuwa jirani ningekupiga kofiSio kwamba tuna jadili bali lazima tuangalie wenye maneno yao wanayaelezea vipi. Una fikiri tamkl "Shahawa" na tamko "Manii" ni maneno ya Kibantu hayo ? Hayo yote ni maneno yenye asili ya Kiarabu.
Sasa kuna watu wajuzi wa lugha zao kuliko Waarabu mzee ? Utachekwa kijana,ajabu nyingine ambayo huwa naiona kwa Wataalamu wa Kiswahili ni kuwa wanakopa maneno ya Kiarabu halafu Kiarabu hawakijui.
Manii ndio Shahawa.
Niwekee kitabu chochote cha Mashia kinachosema shahada yao ni kama yetu sisi Masuni na uiandike hiyo shahada.
Nakupa miaka mia,hutaweza kuleta shahada yao ambayo iko sawa na sisi na hakuna hata ibada moja wanayo fanya mashia ina fanana na sisi.
Nchi ya Waislamu inatambuliwa na wasomi wa kiislamu sio vyombo vya habari wala waandishi wa habari.
Sasa nakupa faida tu,wanachuoni wa Kiislamu wanasema nchi yoyote ambayo ina ruhusu zile alama za uislamu kudhihiri nayo huitwa nchi ya Kiislamu kilugha.
Ndio uniwekee sasa andiko linalo onyesha hao ni mitume,mbona rahisi sana.unataka uthibitisho gani wakati maneno yametoka katika vitabu vyenye pumzi ya Mungu mwenyewe tena amesema.lisiongezwe wala kupunguzwa neno , wewe.
Si ndio nazihakiki kwanza hizo habari ili nije kuziamini kijana,au kuna tatizo ?unapaswa uziamini AYA zile kuwa Yesu kasulubiwa sio kupiga piga chenga , kama huwezi kuziamini basi ata Quran usituletee kama uthibitisho wako, tena nakupa zawadi kuna manabii kibao wa kike japo huko mmefundishwa ni wanaume tu ndio manabii , soma upate mambo mapya usikariri hayo uliokuwa nayo tu utapata tabu
1. Wewe kila siku ukiambiwa Yesu ni Mungu uelewi , utume anatoa anapojisikia ndio maana kawapa hao 12 na akawatuma wakatangaze injili, dunia nzimaSafi kabisa,nini maana ya utume ? Hakuna binadamu anae toa utume kwa binadamu wenzie. Usiniambie kwa akili yangu,uliza ukweli ni upi kuhusu Utume. Huwa nawaambia mijadala ya kielimu ijadiliwe kielimu,hatuko kijiweni hapa na kusema kwani wewe unaonaje ?
Pili,nipe ushahidi ambao unaonyesha Yesu aliwapa utume hao wanafunzi wake.
Safi kabisa,sijui Kiswahili cha SPERM ni nini ? Nisaidie aisee.
Pili,naomba unipe Kiswahili cha SEMEN.
1. Wewe kila siku ukiambiwa Yesu ni Mungu uelewi , utume anatoa anapojisikia ndio maana kawapa hao 12 na akawatuma wakatangaze injili, dunia nzima
2.Kiswahili cha SPERM ni manii na kiswahili cha SEMEN ni SHAHAWA kila saa nakwambia uelewi sasa kajifunze tofauti ya SPERM na SEMEN urudi hapa maana nimerudia sana jambo hilo
Lugha ndio huanza na maana ya kilugha ina uwanja mpaka kuliko maana ya kifani.1. Unajua lugha halafu ujui sayansi ya lile jambo ndio kuna faida gani ?
Kaka Kiswahili gani kimetarjumu kwamba SEMEN ni Shahawa na SPERM ni maniiKwenye kiingereza kuna maneno mawili SPERM na SEMEN haya maneno nitofauti kabisa hilo ulijue , kiswahili kimetafasiri SEMEN kama SHAHAWA na SPERM kama MANII hivi vitu aviwezi kuwa sawa unafeli wapi wewe ungekuwa jirani ningekupiga kofi
Hili jambo limekuzidi umri mzee,achana nalo mpaka siku ukipata ushahidi uliweke hapa.2.Watu wanafata mafundisho ya mtume ndio maana wanakiri shahada unataka kitabu cha mashia ,kama alivyofundisha mtume juu ya nguzo tano Mashia wanazitii na kuzifata sasa wataka wajitungie vitabu vyao ili iweje
3. Kilugha sio kisheria ndio maana kilugha haiwezi kuwa sheria , faida yako nimeikataa kabisa
Niwekee andiko ambalo Yesu mwenyewe anasema yeye ni MUNGU. Nakupa miaka kumi pia.1. Wewe kila siku ukiambiwa Yesu ni Mungu uelewi , utume anatoa anapojisikia ndio maana kawapa hao 12 na akawatuma wakatangaze injili, dunia nzima
Kijana hii ni elimu na nina kufundisha ili uwe unasoma,sisi huwa tuansoma kwanza ndio tunakuja kuandika humu.2.Kiswahili cha SPERM ni manii na kiswahili cha SEMEN ni SHAHAWA kila saa nakwambia uelewi sasa kajifunze tofauti ya SPERM na SEMEN urudi hapa maana nimerudia sana jambo hilo
Mbona nilishakupa andiko kuhusu hao mitume 12 wa Yesu mpaka ukauliza Yakobo wa Zebedayo ni nani au unaugonjwa wa kusahau ? Nilikupa mathayo 10:1- 3 tunarudia kitu kimoja mda woteNdio uniwekee sasa andiko linalo onyesha hao ni mitume,mbona rahisi sana.
Si ndio nazihakiki kwanza hizo habari ili nije kuziamini kijana,au kuna tatizo ?
Wewe nuhakikishie tu kwa kujibu maswali ninayo kuuliza. Hapa nafanya kama alivyotuagiza Allah aliye juu.
Anasema Allah aliye juu,juu ya kuhakiki habari na umuhimu wake :
6. Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda. ( al Hujuraat : 6 )
Nipo ....