Kaka umeuliza swali sana,heshima kwako.
Akikujibu nistue. Ila ujue nini mimi hawa jamaa kuna muda huwa nawauliza maswali sio lengo wanijibu sababu huwa najua hawawezi kujibu,ila nafanya hivyo kwa sababu kuu mbili :
1. Kwamba katika kujaribu kujibu huenda wakaona majibu na ukweli au
2. Kuonyesha ujinga wao ni wapi ulipo.