Kazi ipo ?Hujauliza swali
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo kwasababu hayupo
Kwahiyo nakuzulia sio ?
Kazi ipo ?Hujauliza swali
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo kwasababu hayupo
Hujui maana ya kuhoji.Wanahoji mkishindwa kuwapa majibu automatically madai yenu yanakuwa uongo ndipo ukanusho unapoingia
Kumbe yeye hapati hasara wala hadhuriki sasa hiyo kukodoa macho inatoka wapi tena?Sio anapata hasara bali amekosa busara ata ya kuchambia chooni mkuu, ndio maana wafuasi wake wamekuwa wapuuzi wakauana ovyo angali yeye akikodoa macho kama kabanwa na mlango
Hivi huwa mnajisikiaje kuongelea jambo usilolijua ?Badala ya kusubir kuwachoma watu huo muda, wa kuandaa huo moto ni bora angeshuka kuja kuwapatanisha mashia na masuni,
1. Suala la manii na shahawa hauna HOJA yeyote nimekujibu vizuri , nimekujibu kisayansi mpaka unakufa hautaweza kuniambia SEMEN(shahawa ) ndani yake kuna nini ? aya mambo ya kitaalamu huwezi fundishwa msikitini kijana , kaa chini upewe elimu mbadala tofauti na ulivyo karirishwa narudia tena kwa mara ya mwishoHivi huwa mnajisikiaje kuongelea jambo usilolijua ?
Mathalani jana kile kituko cha kusema manii sio shahawa,lakini kumbe una vituko vingine vingi,hiki nacho ni kituko kingine. Moto ushaumbwa zamani na upo tayari.
Pili,Allah akitaka jambo liwe linakuwa tu ni kusema tu. Kwahiyo haya unsyo yaandika yanaonyesha ni kwa namna gani humjui Mola ajabu unamjadili,huu ujinga sijui mnafundishwa na nani ?
Pili,umezungumzia usuni na ushia. Nakuuliza swali kwanini utake iwepo suluhu kati ya usuni na ushia ?
Yenye kusuluhishwa katila Uislamu ni makundi mawili ya walio amini na kila Allah aliye juu ameweka wazi.
Anasema Allah mtukufu :
9. Na ikiwa makundi mawili katika Waumini yanapigana, basi yapatanisheni. Na likiwa moja la hao linamdhulumu mwenzie, basi lipigeni linalo dhulumu mpaka lirejee kwenye amri ya Mwenyezi Mungu. Na likirudi basi yapatanisheni kwa uadilifu. Na hukumuni kwa haki. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao hukumu kwa haki. (al Hujurati : 9 )
Una uhakika kama mashia ni waislamu mpaka tusuluhishwe nao ?
Ndio maana tunawaambia watu waache ujinga hiko wanachokipigania chenyewe akijiwezi , wale maisha waachane na upumbavu wa maandiko ya kipuuzi yenye kuwaletea madhara mpaka wanaharibu maisha yao kwa kuuanaKumbe yeye hapati hasara wala hadhuriki sasa hiyo kukodoa macho inatoka wapi tena?
Acha utetezi wa kitoto unatakiwa uwathibitishie watu Mungu wako yupo wanapokuuliza , sasa unapoanza kuruka ruka kama umebanwa na mkojo ndio watu wanabaki kukuangalia , wewe Mwenye Mungu ndio unayo kazi ya kuthibitisha maana huyo Mungu wako ndio anatafuta watu wa kumuamini na kumtii , angaika kupata watu dini iongezeke waumini sio kulia lia hapaHujui maana ya kuhoji.
Wao huanza kukanusha ndio maana uwajibu wa kuthibitisha unakuwa ni wao,sababu huonekana ya kuwa mwenye kukanusha ana jua zaidi,na hii ni kaida ya kimjadala. Ajabu hao tunao wadhania ya kuwa wanajua ukweli ni kinyume chake yaani hawajui hata waliposimamia wapi.
Mtu unamuuliza maswali tangu jana hajibu,ila akiuuliza yeye anataka ajibiwe na anajibiwa. Mtu anabishana jambo kuhusu chanzo lakini hajui umuhimu wa chanzo na anahoji kwani kuna kuna ulazima wa kuwa na chanzo ?
Mimi nakupa miaka kumi tu na ukae na wakubwa zako huwezi kuniambia na kuthibitisha ya kuwa Shahawa sio manii na ndani ya shahawa kuna nini ?1. Suala la manii na shahawa hauna HOJA yeyote nimekujibu vizuri , nimekujibu kisayansi mpaka unakufa hautaweza kuniambia SEMEN(shahawa ) ndani yake kuna nini ? aya mambo ya kitaalamu huwezi fundishwa msikitini kijana , kaa chini upewe elimu mbadala tofauti na ulivyo karirishwa narudia tena kwa mara ya mwisho
2.Mashia ni waislamu kabisa ata nchi yao ya IRAN ndio nchi pekee duniani inayotambulika kama nchi ya kiislamu , tena wamekiri shahada kweupe , wacha porojo
Huku usiingie kabisa sababu ndio naishi humo.lugha ya kimahesabu
SEMEN= {SPERM, SEMINAL FLUID}
narudia tena ukisoma SET utaelewa maana ya UNiversal Set ila ni ngumu kuelewa wewe kwasababu ni mweupe sana kwenye mambo haya , alafu unatoka mishipa
Hii kazi niliifanya tayari niliifanya kitambo,na nikamwambia niliyemthibitishia ya kuwa. Nathibitisha kuwepo kwa Allah aliye juu,kwa kutumia :Acha utetezi wa kitoto unatakiwa uwathibitishie watu Mungu wako yupo wanapokuuliza , sasa unapoanza kuruka ruka kama umebanwa na mkojo ndio watu wanabaki kukuangalia , wewe Mwenye Mungu ndio unayo kazi ya kuthibitisha maana huyo Mungu wako ndio anatafuta watu wa kumuamini na kumtii , angaika kupata watu dini iongezeke waumini sio kulia lia hapa
Wanajiona wasomi kumbe ni wajinga. Wanauliza maswali ya kitoto, wanakimbia maswali yanayoulizwa.Hii kazi niliifanya tayari niliifanya kitambo,na nikamwambia niliyemthibitishia ya kuwa. Nathibitisha kuwepo kwa Allah aliye juu,kwa kutumia :
1. Ufunuo (Qur'aan na Sunnah)
2. Akili
3. Milango ya fahamu
Kisha nikampa aya kuonyesha ukweli jambo hilo kisja kutokana na aya ile nikamuuloza maswali. Hakujibu maswali yale wala hakuna anaeweza kujibu.
Kwahiyo hapa nasubiri nijibiwe maswali yangu mawili kisha niendelee na pale nilipoishia.
Mambo ya AYA ndio atuyataki hizo AYA wape waumini wenzako , ndio maana jana nikakupa AYA hapa kuwa Yesu kasulubiwa na kufufuka na watu kawatokea ukaingia mitini, vip AYA zako waziamini narudia tena AYA sio uthibitisho huo ni uongozi kwa waumini , sisi tusiowaumini AYA aziwezi kuwa uthibitisho kabisaHii kazi niliifanya tayari niliifanya kitambo,na nikamwambia niliyemthibitishia ya kuwa. Nathibitisha kuwepo kwa Allah aliye juu,kwa kutumia :
1. Ufunuo (Qur'aan na Sunnah)
2. Akili
3. Milango ya fahamu
Kisha nikampa aya kuonyesha ukweli jambo hilo kisja kutokana na aya ile nikamuuloza maswali. Hakujibu maswali yale wala hakuna anaeweza kujibu.
Kwahiyo hapa nasubiri nijibiwe maswali yangu mawili kisha niendelee na pale nilipoishia.
Angalia huyu nae anavyo angaikaWanajiona wasomi kumbe ni wajinga. Wanauliza maswali ya kitoto, wanakimbia maswali yanayoulizwa.
Hawa hawana hoja, hawa ni wakanushaji. Akina Abuu Jehel hawa
Kwani unajibu Maswali wewe?Angalia huyu nae anavyo angaika
1. Hivi wewe uelewi miaka 10 ya nini !!ndani ya SHAHAWA kuna ( MANII na maji maji ya seminal) hivi mpaka nikuchape viboko ndio uelewe , kiingereza kimekuwa tatizo kubwa kwakoMimi nakupa miaka kumi tu na ukae na wakubwa zako huwezi kuniambia na kuthibitisha ya kuwa Shahawa sio manii na ndani ya shahawa kuna nini ?
Natilia mkazo.
Manii
Shahawa (manii) ya mwanamume ni maji meupe mazito. Kwa mwanamke ni ya rangi ya manjano na mepesi. Manii kwa kawaida huwa ni maji yanayotokwa kwa mwanamume au mwanamke wakati wa kilele cha raha wakati wa mapenzi.
Jambo usilolijua na kamusi nyingi za Kiswahili zinakosea ni kuacha maana ya asili ya maneno wanayo ya kopa katika lugha nyingine.
Huu ujinga ndio ninao ukataa,na ndio maana nawakomalia mjibu maswali ndio tuendelee na kadhia nyingine.
Swali Hivi ikitambulika nchi ya Kiislamu ndio inakuwa ya Kiislamu kweli ?
Unaweza kuniambia shahada ya Mashia ikoje ?
Huujui Uislamu,nashangaa unauzungumzia ujasiri huu huwa unaupata wapi ?
Huku usiingie kabisa sababu ndio naishi humo.
Nipo .....
Mimi lolote najibu tu , kama una swali uliza hapa ndio mahali pakeKwani unajibu Maswali wewe?
Mtu ana chanzo?Mimi lolote najibu tu , kama una swali uliza hapa ndio mahali pake
Kila kitu kina sababu yake ya kutokea , kama unamaanisha chanzo hiko kweli mtu anacho chanzoMtu ana chanzo?
Kidogo kidogo unaanza kupinda njia. Anyways, sababu ya mtu kutokea ni nini?Kila kitu kina sababu yake ya kutokea , kama unamaanisha chanzo hiko kweli mtu anacho chanzo
Dawa yao ni hakuna kwenda mbele mpaka wajibi maswali kisha ndio tunaendelea.Wanajiona wasomi kumbe ni wajinga. Wanauliza maswali ya kitoto, wanakimbia maswali yanayoulizwa.
Hawa hawana hoja, hawa ni wakanushaji. Akina Abuu Jehel hawa
Ni mbegu za uzazi kufika kwenye yai kisha kurutubishwa hukoKidogo kidogo unaanza kupinda njia. Anyways, sababu ya mtu kutokea ni nini?