Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,255
- 123,667
Hilo lilikua sio swali ulikua unakumbushwa tuHili limeisha kama utakuwa na swali lingine baada ya kujibu maswali yangu,nitag nikujibu.
Nipo ....
Swali hili hapa
Thibitisha mungu yupo
Hilo lilikua sio swali ulikua unakumbushwa tuHili limeisha kama utakuwa na swali lingine baada ya kujibu maswali yangu,nitag nikujibu.
Nipo ....
Hujathibitisha mungu yupo, naona unaamisha magoli kwenye juaSasa ndio ujibu kile kilicho ulizwa mzee. Mbona unakwepa kwepa ?
Usirudie swali ambalo nimeshakujibu.
Kijana laiti kama ungekuwa unajibu maswali yangu sikufichi huu ujinga usingekuwa unauuliza.
Unakubali kama jua lipo ? Au hata kusikia kwa watu tu ?
Jua halipimwi mzee,jua lipo na kutazama hakuitei kupimwa ndio maana pakawa na vipimo.
Uwepo wa jambo ndio uhalisia.
Nakuja kuendelea hapa niliposhia.
Ila usisahau kujibi maswali uangu.
Hapa umekutana na chuma kweli kweli utaelewa tuSafi kabisa,nakufundisha sasa,haya maneno inaonekana anasimulia Mathayo au mtu mwingine.
Kwanza tunahakiki habari hii ili tuweze kuiamini na kuifanyia kazi. Sasa naomba ujibu maswali haya :
1. Mathayi aliyapata wapi hayo maneno ?
2. Aliyaandika lini maneno hayo ?
3. Je huyo Mathayo alikuwa ni katika wanafunzi wa Yesu au nani ?
4. Nani aliye muona malaika hapo ?
Jibu maswali ya hapo juu.
Kwahiyo watu kudhurika kwa maelezo aliyoyaleta kwa watu wewe unaona jambo hilo ni sawa !! Suni na shia huu mgogoro ni mwepesi kama atashuka nakusema ukweli mmoja tu wote wakaufata , hawezi kudhurika kwasababu ayupo ata dhiki zinazowapata wafuasi wake kwa kutoelewa maandiko yaliyojaa uuaji na ukatili mkubwa wao kwa wao na wasio wao , ajali anasubiri siku ya hukumu awachome moto watu wasiolewa ukweli upi badala ya kushuka kuwaeleza anawasubir awachome hopeless kabisaa ahahahaaaaaahaHujaeleza hata shida yake yeye moja yenye kulazimu ajitokeze,kwani hayo unayoeleza yakifanyika yeye anapata hasara gani au anadhulika na nini?
Atakwambia AYA ndio uthibitisho , ukimtolea AYA za wengine Yesu kafufuka anaingia huku anatokea huku maana aya izo aziamini halafu anakulazimisha wewe uwe muumini wa AYA zake hopeless kabisa ahahahhhahahahahaHujathibitisha mungu yupo, naona unaamisha magoli kwenye jua
Thibitisha mungu yupo kwanza
Halafu unataka ujadiliane na mimi ?
Ukijibu swali hili naacha kutumia hii Id ya Zurri.
Hakuna swali umeuliza sa kivipi nikujibu??Safi sana,kaka kwa heshima na taadhima niko chini ya miguu yako aisee,naomba unijibu tu yale maswali yangu mawili niliyo kuuliza baada ya ile aya,pamoja na uoga wangu msaada tafadhali.
Kwa principle hiyo ukijibu swali hili utakua umepata jibu lakoJibu swali kijana,unajua kuna muda unapojibu swali unalo ulizwa ndio unaona jibu humo na utajua kwanini umeulizwa hivyo.
Kwaiyo kila kilichopo kina chanzo na hakuna kilichopo kikakosa chanzo??Sasa leo mjinga kama wewe huoni umuhimu wa kujua chanzo wakati kila siku watu katika kutatua matatizo wanatafuta chanzo cha jambo au kitu.
Huwezi kuvaa viatu vyangu kijana,ona vinavyo kupwaya.
Jibu swali,wewe huna chanzo ?
Unajua mpaka najiuliza kwanini hujibu ninacho kuuliza ?
Ukija na majibu ya maswali niliyo kuuliza tutaendelea kutokea hapo.
we unajuaje kama ni ukweli?Swali ni rahisi je kile kilicho andikwa mule cha uongo ?
Kimejikita kwenye hekaya za imani na sio factKama cha uongo,sasa ndio ujibu yale maswali a uonyeshe uongo wake.
Hujathibitisha mungu yupoKinyume na hapo wewe ni mjinga na unabisha ujinga.
hizi habari za kusema sijui kanusha kielimu hupaswi hata kuzizungumzia maana ulishindwa kuelezea nini maana ya elimuSasa unapo kanusha ndio uwe unakosoa kielimu kisha unatupa ukweli.
Ukweli niliokupa, mungu hayupoSasa unapokanusha bila kukosoa na kuweka ukweli wewe unaitukana elimu na unakuwa unaitumia akili vibaya.
Kujua maana ya riwaya hakukusaidii wewe uweze kuthibitisha mungu yupiSafi kabisa,ni nini maana ya Riwaya,maana kila kitu kimeandikwa mpaka maana ya riwaya inajulikana.
Tuendelee.
Nimekuuliza hayo yote yana mpa hasara gani au kumdhuru nini au alazimike kujitokeza? Hujajibu hili swali naona unawazungumzia watu badala ya kueleza ni vp Mungu analazimika kujitokeza.Kwahiyo watu kudhurika kwa maelezo aliyoyaleta kwa watu wewe unaona jambo hilo ni sawa !! Suni na shia huu mgogoro ni mwepesi kama atashuka nakusema ukweli mmoja tu wote wakaufata , hawezi kudhurika kwasababu ayupo ata dhiki zinazowapata wafuasi wake kwa kutoelewa maandiko yaliyojaa uuaji na ukatili mkubwa wao kwa wao na wasio wao , ajali anasubiri siku ya hukumu awachome moto watu wasiolewa ukweli upi badala ya kushuka kuwaeleza anawasubir awachome hopeless kabisaa ahahahaaaaaaha
Hasara kwa Mungu mwenyewe huo mda anaotumia kuandaa moto ni vyema angekuja kuwaeleza angalau wale wanaomuamini kwenye vitabu vyake kuwa msigombane usahihi huko hivi , sasa ata hilo limemshinda anaacha watu wanatoana roho kwa kigezo kitabu cha Mungu , huu upuuzi aje aumaliza anatuletea tabu huku kusaidia chakula waumini wake wakiuanaNimekuuliza hayo yote yana mpa hasara gani au kumdhuru nini au alazimike kujitokeza? Hujajibu hili swali naona unawazungumzia watu badala ya kueleza ni vp Mungu analazimika kujitokeza.
Kwa sababu ni kana kwamba unataka kutuambia ya kwamba Mungu hakuweza kufanya hali iwe vile atakavyo na kwahiyo yanayoendelea duniani analazimika kujitokeza ili ndio mambo yake yawe sawa.
Kama unachoelezwa hukielewi, majibu utayatolea wapi?Acha kukimbia kimbia eleza unachotaka kueleza upewe majibu
Wewe unajua huo moto anauwaanda vp hadi useme anapata hasara?hebu eleza ni vp huo moto anavyouandaa ili tuweze kujua anapataje hasara?Hasara kwa Mungu mwenyewe huo mda anaotumia kuandaa moto ni vyema angekuja kuwaeleza angalau wale wanaomuamini kwenye vitabu vyake kuwa msigombane usahihi huko hivi , sasa ata hilo limemshinda anaacha watu wanatoana roho kwa kigezo kitabu cha Mungu , huu upuuzi aje aumaliza anatuletea tabu huku kusaidia chakula waumini wake wakiuana
Nimekuelewa vizuri sana.Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.
Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!
Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.
Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.
Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Kama kuumba alitumia siku 6 sasa unashangaa nini kutumia muda kuandaa moto !! Ushahidi wa kushindwa ni kitendo cha kuwaacha ata waumini wake wawe kama walevi awaelewi kipi ni kipi , mpaka wanatoana roho , ata hili la kuwapa tafsiri ameshindwa sasa ataweza lipi ?Wewe unajua huo moto anauwaanda vp hadi useme anapata hasara?hebu eleza ni vp huo moto anavyouandaa ili tuweze kujua anapataje hasara?
Una ushahidi gani kuwa limemshinda ?maana hichi ndio nilikuwa nasema, hivyo unavyotaka Mungu ajitokeze ni kana kwamba kuna jambo limemshinda hana uwezo wa kulifanya liwe kama atakavyo kwa maana hiyo analazimika kuja. Kama aliweka pepo na moto kwa watakaomuamini na wasiomuamini iweje tena wewe useme ajitokeze?hapo tena ndio kutaleta maana gani?
Kwahiyo kwa akili yako yeyote anaehoji Mungu ni atheists ? acha kukariri na kuwapa watu majina wasiyo kutajiaKama unachoelezwa hukielewi, majibu utayatolea wapi?
Ninyi atheists wa humu Jf hoja za wanaoamini uwepo wa Mungu mnazisoma kwa jicho la nimjibu vipi!
Huwa hamsomi na kuangalia mantiki ya hoja iliyoandikwa ni ipi!
Sasa wengine tuna mengi ya kufanya! Usimba na Uyanga hatuna!
Najadiana na wewe kivipi usema nataka
Naomba unipe tofauti kati ya mtu na mwanadamu,na unipe asili ya maneno hayo. Ujinga mzigo.
Anauwandaa vp huo moto maana unasema anapata hasara?na katika huo uumbaji wa siku 6 huo moto hukuwepo?Kama kuumba alitumia siku 6 sasa unashangaa nini kutumia muda kuandaa moto !! Ushahidi wa kushindwa ni kitendo cha kuwaacha ata waumini wake wawe kama walevi awaelewi kipi ni kipi , mpaka wanatoana roho , ata hili la kuwapa tafsiri ameshindwa sasa ataweza lipi ?
Naendelea kukufundisha,usiweke maneno tupu weka na marejeo hatupigi story za vijiweni.1.Mathayo alipata maneno toka kwa mama mzazi wa Yesu mwenyewe na Maria mwengine walioenda kuona kaburi la Yesu na kutokewa na malaika , kisha kupewa amri ya kutangaza jambo lile kuwa Yesu kafufuka , tena ukisoma mbele Yesu akawatokea mwenyewe mama yake na Maria mwengine nakuwaambia kweli amefufuka waende galilaya huko akawatokea tena na wanafunzi wote kukiri kuwa Yesu kafufuka
Nipe ushahidi wa haya.2.Aliandika wakati mambo hayo yalipotokea( zaidi ya miaka 1500 imepita )
Liko wapi hili ?3.Mathayo Alikuwa ni mwanafunzi wa Yesu katika wale 12 aliowachagua
Hujaweka andiko kuonyesha hilo.4. Mama wa Yesu alimuona malaika na Maria mwengine
Swali la msingi bado hujatoa uthibitisho.Kuna swali jingine hapa ndipo maarifa
Mufti 'wewe ni Msumbufu'Najiuliza kwanini hujibu nilicho kuuliza ? Nilikuuliza utunge sentensi yanye kuleta maana,na hii umeitunga kifata mjengeko wa na muunganiko wa maneno ila haina maana. Sasa tunga sentensi ilete maana.
Ona sasa ulivyokuwa mjinga,nani alikwambia uchanganuz wa sentensi unaishia katika mjengeko tu ?
Changanua na maana ya Sentensi. Sentesi haina maana wala hafidishi kabisa. Hapo hujachambua sentensi bali umetoa majina ya maneno katika hiyo sentensi. Kazi yangu bado iko pale pale,nenda kawaulize wataalamu wa Kiswahili,wakwambie kwamba hoyo sentensi ina maana au haina maana.
Kisha sasa rudi kwenye msingi mama ujihukumu,kuihukumu hiyo sentensi yako,nao msingi wa WASWAHILI. Kwamba ukiwazungumzisha sentensi hiyo wanaukuelewa.
Sababu bado huelewi wapi ulipoegemea,nakuuliza maswali yafuatayo :
1. Ili kitu kiwe kimejificha hutakiwa kikidhi sifa gani ?
2. Je kila kisicho onekana kimejificha ? Hapa unatakiwa uthibitishe hilo.
3. Sababu wewe umeonekana kama umeidandia hii hoja,kwa kulusaidia naomba ujibu swali hili,je ni kweli Mola wetu sisi amejificha na je unakubaliana na kauli hiyo ?
Pili,nukukumbusha naona umerudia tamko "Kiarifu" na "Kielezi" yote yana maana moja na ilitosheleza tu aidha kutumia "Kiarifu" au "Kielezi". Kurudia kwako maneno hayo mawili,kunaonyesha wazi ulichokiandika umekikariri ns hukijui.
Nipo ...
Hivyo ndivyo nilivyo mimi.Mufti 'wewe ni Msumbufu'
Kwamba msumbufuHivyo ndivyo nilivyo mimi.
Rejea ulichokiandika mpaka nikakujibu.Kwamba msumbufu