Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

mtu ni mimi, na binadamu ni wewe unayeamini riwaya ya kuraan iliyoandika utumbo kua mtu wa kwanza ni adam

Unahisi bado hujajibiwa??

Hakuna swali umeuliza sa kivipi nikujibu??

Hujathibitisha mungu yupo

Kwa principle hiyo ukijibu swali hili utakua umepata jibu lako

Kwani chanzo kina umuhimu wowote ili kitu kiwepo??

Kwaiyo kila kilichopo kina chanzo na hakuna kilichopo kikakosa chanzo??

viatu vya ujinga hata kuvigusa siwezi

Kwani chanzo kina umuhimu wowote ili kitu kiwepo?? kila kilichopp ni lazima kiwe na chanzo??

Ni kwasababu ukipewa jibu hujui kama umejibiwa

hujauliza swali sa kivipi nijibu??

we unajuaje kama ni ukweli?

Kimejikita kwenye hekaya za imani na sio fact

Kwaiyo hiwezi kuthibitisha mungu yupo nje ya kuran

Hujathibitisha mungu yupo

hizi habari za kusema sijui kanusha kielimu hupaswi hata kuzizungumzia maana ulishindwa kuelezea nini maana ya elimu

Btw hujathibitisha mungu yupo

Ukweli niliokupa, mungu hayupo

Kujua maana ya riwaya hakukusaidii wewe uweze kuthibitisha mungu yupi

Hujathibitisha mungu yupo kwasababu hayupo

Kazi yangu imeisha.

Nasubiri majibu tu hapa ili uulize maswali yako kisha niendelee.

Hujathibitisha mungu yupo
 
Naendelea kukufundisha,usiweke maneno tupu weka na marejeo hatupigi story za vijiweni.

Maneno hayo umeyapata wapi ? Na kupitia kwa nani yamekufikia wewe.

Naendelea kuhakiki habari,mpaka ukweli utakapo fichuka.

Nipe ushahidi wa haya.

Liko wapi hili ?

Hujaweka andiko kuonyesha hilo.

Swali la msingi bado hujatoa uthibitisho.

Nasubiri.
--Mathayo ni mwanafunzi wa Yesu kasome MATHAYO 10:2-4
"Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya : wa kwanza Simoni alieitwa Petro, na Andrea Nduguye ; Yakobo wa zebedayo , na Yohana nduguye, Filipo na Bartholomayo ; Tomaso , na MATHAYO mtozo ushuru ,

--Yesu alionekana bila tabu yeyote na Mariamu
Yohana20:11-16
- Yesu akamwambia " mama , mbona unalia ? unamtafuta nani ? Mariamu alidhani aliyekuwa anaongea naye ni mtunza bustani , kwa hiyo akajibu ," kama ni wewe umemchukua tafadhali nionyeshe ulipomweka ili nimchukue "; Yesu akamwita "; Mariamu ndipo Mariamu akamgeukia Yesu akamwambia kwa kiebrania " Rabboni ,

WAPO wengi walitokewa na Yesu adi wakina kleopa
Luka 24:36
" wanafunzi wote wawili walipokuwa wakiwaambia hayo Yesu mwenyewe akasimama kati yao akawaambia " Amani kwenu "

Suala la kufufuka kwa Yesu limeezungumzwa kwenye Injili zote wewe tu uvivu wako swali unaamini AYA hizi kuwa kweli Yesu alifufuka?
Kuna maandiko mengi naweza kupa rejea ukasome mwenyewe siwezi andika humu kila kitu kama utaitaji nitakupa ukajisomee mwenyewe hayo baadhi ndio nimekuandikia kuna mtu anaitwa Tomaso kwa ubishi wake alikataa kuwa Yesu ajafufuka ikabidi Yesu amwambie amguse majeraha ndipo Tomaso aliposadiki, hivyo acha utomaso , na Yeyote anaekataa kuwa Yesu akusulubiwa kwa mujibu wa Yesu mwenyewe huyo ni SHETANI , hivyo kwa AYA zilizopo huku kwa Yesu wewe Zuri na waislamu wenzako nyie ni mashetani kamili
 
Anauwandaa vp huo moto maana unasema anapata hasara?na katika huo uumbaji wa siku 6 huo moto hukuwepo?

Huo ushahidi au mtazamo wako? Sasa hawa wanaoitwa mitume walikuwa na kazi gani kama unasema Mungu kawaacha watu hawaelewi kipi ni kipi?
Nimekwambia Mungu huo mda wa kuandaa moto ni vyema akautumia kwa kazi nyingine , hiyo hasara umesema wewe, kwani matatizo ya mashia ni masuni mtume aliyaacha au yalikuja baadae ? na Mungu wenu kasitisha mitume sasa ni wakati umefika aje mwenyewe tumechoka kuona mkiuana kwa kisa maandiko mliyokunywa kama ulevi , tena amuelewi kipi na kipi , mnabaki kutuletea tabu duniani , ashuke amalize matatizo yake aliyoyaasisi
 
MATHAYO 10:2-4
"Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya : wa kwanza Simoni alieitwa Petro, na Andrea Nduguye ; Yakobo wa zebedayo , na Yohana nduguye, Filipo na Bartholomayo ; Tomaso , na MATHAYO mtozo ushuru ,
Hili tatizo lingine sasa. Hawa ni mitume na utume wa hawa wameupata wapi na wamepewa na nani ?

Huyu Yakobo wa Zebedayo ni nani ?
 
Nimekwambia Mungu huo mda wa kuandaa moto ni vyema akautumia kwa kazi nyingine , hiyo hasara umesema wewe, kwani matatizo ya mashia ni masuni mtume aliyaacha au yalikuja baadae ? na Mungu wenu kasitisha mitume sasa ni wakati umefika aje mwenyewe tumechoka kuona mkiuana kwa kisa maandiko mliyokunywa kama ulevi , tena amuelewi kipi na kipi , mnabaki kutuletea tabu duniani , ashuke amalize matatizo yake aliyoyaasisi
Unang'ang'ania anauwandaa moto ila huelezi anauwandaa vp kiasi cha kuona unampotezea muda na ndiyo hasara yenyewe.
 
Hili tatizo lingine sasa. Hawa ni mitume na utume wa hawa wameupata wapi na wamepewa na nani ?

Huyu Yakobo wa Zebedayo ni nani ?
kwani wewe utume unajua ni kitu gani mpaka unauliza maswali mengi kiasi hiko ? Upande huu ata wanawake ni manabii, Yakobo wa Zebedayo si mwanafunzi wa Yesu au ujaona hapo jina lake wewe vip ahahahaahaaaa
 
Unang'ang'ania anauwandaa moto ila huelezi anauwandaa vp kiasi cha kuona unampotezea muda na ndiyo hasara yenyewe.
Badala ya kusubir kuwachoma watu huo muda, wa kuandaa huo moto ni bora angeshuka kuja kuwapatanisha mashia na masuni, na kwa mafundisho yenu hayo kama atoshuka Mungu wenu mtaendelea kuuana kama kuku maana akili zenu finyu kutokana na ulevi wa maandiko yasieleweka kwa maana moja kwa wote, ukweli mchungu kumeza huu
 
Kwahiyo kwa akili yako yeyote anaehoji Mungu ni atheists ? acha kukariri na kuwapa watu majina wasiyo kutajia
Si yatima tu yule aliyefiwa na mzazi/wazazi! Bali yatima hasa ni yatima wa kukosa elimu na adabu.

Ungelikuwa si miongoni mwa atheist ungelimuhoji Mungu au kumjengea mada Mungu kwa adabu. Kwa sababu shauku ya mwenye kuhoji ya anayetaka kujua ipo wazi.

Kingine, unajibiwa kwa logic! Na logic inakutoa point A inakupeleka point B kwa umaridhawa. Lakini wewe hutaki kusafiri na logic, bali lengo lako ni kusoma alichokiandika mtu ili umjibu vipi!

Hakika ya uzuri ni uzuri wa adabu na akili! Wewe umevikosa hivi vyote! Logic iko wazi, imagination ipo wazi. Na kwa hivyo viwili utajua lengo la unayeweka munakasha liko wapi.

Na kingine mnachukulia ni sifa. Kwamba ile dah! Yule jamaa ni mpingaji wa uwepo wa Mungu. Sasa kwa hayo yote nifanye munakasha na mtu wa namna hiyo ili iweje?

Kaburu ni kaburu tu! Na mpingaji wa uwepo wa Mungu ni mpingaji tu wa uwepo wa Mungu.
 
Badala ya kusubir kuwachoma watu huo muda, wa kuandaa huo moto ni bora angeshuka kuja kuwapatanisha mashia na masuni, na kwa mafundisho yenu hayo kama atoshuka Mungu wenu mtaendelea kuuana kama kuku maana akili zenu finyu kutokana na ulevi wa maandiko yasieleweka kwa maana moja kwa wote, ukweli mchungu kumeza huu
Twende taratibu tu mkuu,kwani Mungu anapata hasara gani akiwachoma hao watu moto?hebu nijibu kwanza.
 
Twende taratibu tu mkuu,kwani Mungu anapata hasara gani akiwachoma hao watu moto?hebu nijibu kwanza.
Sio anapata hasara bali amekosa busara ata ya kuchambia chooni mkuu, ndio maana wafuasi wake wamekuwa wapuuzi wakauana ovyo angali yeye akikodoa macho kama kabanwa na mlango
 
Si yatima tu yule aliyefiwa na mzazi/wazazi! Bali yatima hasa ni yatima wa kukosa elimu na adabu.

Ungelikuwa si miongoni mwa atheist ungelimuhoji Mungu au kumjengea mada Mungu kwa adabu. Kwa sababu shauku ya mwenye kuhoji ya anayetaka kujua ipo wazi.

Kingine, unajibiwa kwa logic! Na logic inakutoa point A inakupeleka point B kwa umaridhawa. Lakini wewe hutaki kusafiri na logic, bali lengo lako ni kusoma alichokiandika mtu ili umjibu vipi!

Hakika ya uzuri ni uzuri wa adabu na akili! Wewe umevikosa hivi vyote! Logic iko wazi, imagination ipo wazi. Na kwa hivyo viwili utajua lengo la unayeweka munakasha liko wapi.

Na kingine mnachukulia ni sifa. Kwamba ile dah! Yule jamaa ni mpingaji wa uwepo wa Mungu. Sasa kwa hayo yote nifanye munakasha na mtu wa namna hiyo ili iweje?

Kaburu ni kaburu tu! Na mpingaji wa uwepo wa Mungu ni mpingaji tu wa uwepo wa Mungu.
Ahahahahahaaaha narudia tena kila anaehoji uwepo wa Mungu ni atheists? Miungu imejaa duniani lazima tuhoji kijana au ujui kuwa ata Yehova ni Mungu , na je unafahamu kuna Mungu anaitwa Brahman huko India acha kukariri wewe
 
Back
Top Bottom