Halafu unataka ujadiliane na mimi ?
Naomba unipe tofauti kati ya mtu na mwanadamu,na unipe asili ya maneno hayo. Ujinga mzigo.
Ukijibu swali hili naacha kutumia hii Id ya Zurri.
mtu anaye jinadi kua yeye sio muoga au kuita wengine waoga mara kwa mara mtu huyo ni muoga sana.
Safi sana,kaka kwa heshima na taadhima niko chini ya miguu yako aisee,naomba unijibu tu yale maswali yangu mawili niliyo kuuliza baada ya ile aya,pamoja na uoga wangu msaada tafadhali.
Kwani chanzo kina umuhimu wowote ili kitu kiwepo??
Jibu swali kijana,unajua kuna muda unapojibu swali unalo ulizwa ndio unaona jibu humo na utajua kwanini umeulizwa hivyo.
Sasa leo mjinga kama wewe huoni umuhimu wa kujua chanzo wakati kila siku watu katika kutatua matatizo wanatafuta chanzo cha jambo au kitu.
Huwezi kuvaa viatu vyangu kijana,ona vinavyo kupwaya.
Jibu swali,wewe huna chanzo ?
Kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo??
Unajua mpaka najiuliza kwanini hujibu ninacho kuuliza ?
Ukija na majibu ya maswali niliyo kuuliza tutaendelea kutokea hapo.
maswali yametoka kwenye kitabu cha imani tena waisilamu inamaana hata mkristo tu hakimuhusu, utaniambieje mimi kua yananihusu
Hujathibitisha mungu yupo
Swali ni rahisi je kile kilicho andikwa mule cha uongo ?
Kama cha uongo,sasa ndio ujibu yale maswali a uonyeshe uongo wake.
Kinyume na hapo wewe ni mjinga na unabisha ujinga.
Navyokanusha mungu hayupo nakua Nakanusha hadi hizo riwaya kua zimeandika uwongo
Sasa unapo kanusha ndio uwe unakosoa kielimu kisha unatupa ukweli.
Sasa unapokanusha bila kukosoa na kuweka ukweli wewe unaitukana elimu na unakuwa unaitumia akili vibaya.
Hujathibitisha mungu yupo. Hizo karatasi za riwaya uzoziita ufunuo wa imani naziona kama lizla
Safi kabisa,ni nini maana ya Riwaya,maana kila kitu kimeandikwa mpaka maana ya riwaya inajulikana.
Tuendelee.