Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,167
Ewaaa! Sasa umekuja! Na tutamjua ni nani aliyekariri baina yangu na yako.
Mungu tutakayemzungumzia ni Allah!
Tuingie kwenye mjadala. Twende kazi.
Inakuwaje unarudia swali ambalo nimeshalijibu ?Nimekwambia kama una maana nyengine ya neno kujificha tofauti na lile tulilozoea waswahili bainisha, tatizo ni nini Mufti..!?
Nimekujibu kulingana na ulivyoniuliza! Nimekujibu kulingana na imani yangu.Ok twende taratibu ili uweze kunikamata vizuri kama lengo lako unavyotaka
Umesema mungu unayetaka kuthibitishiwa kua hayupo katika hao niliokutajia ni allah. Kwaiyo katika hiyo list allah tu ndiye ambaye unaamini kua yupo sio??
Kwaiyo imani yako inaamini yawe na jehova hawapo?Nimekujibu kulingana na ulivyoniuliza! Nimekujibu kulingana na imani yangu.
Hayo maswali mimi hayanihusu brother!Kwaiyo imani yako inaamini yawe na jehova hawapo?
Hayo maswali mimi hayanihusu brother!
Ya yawe(sijui) wapatie akina yawe!
Ya Jehovah waulize akina Jehovah!
Mi ni wa Allah! Kwa hiyo niulize kuhusiana na Allah.
Hao wengine ikifika time yao utawauliza kwa muda wao.
Hao wengine sijawahi kuwasikia! Hata ukiniuliza kuhusu hao sitoweza kukujibu. Nitaweza kukujibu kwa huyo(Mungu) ambaye ninayemjua.Sijauliza kama maswali yanakuhusu au lah
Nakuuliza tena
Katika list hiyo kwanini umchague allah tu kama ndiye mungu ambaye yupo na kuwaacha wengine inamaana hao wengine hawapo???
Nikikuambia mungu huyo yupo na wote wanaompinga kwa kuabudu miungu mingine kama allah wamepotea, utakubali kua mungu huyo yupo??Hao wengine sijawahi kuwasikia! Hata ukiniuliza kuhusu hao sitoweza kukujibu. Nitaweza kukujibu kwa huyo(Mungu) ambaye ninayemjua.
Ukitaka habari nyengine kama hao ni miungu au siyo miungu waulize wanaowajua.
Mimi namjua Allah pekee.
Ndiyo maana nikakujibu hayo mengine hayanihusu kwa sababu siyajui. Kwa hiyo, kama unataka kuniuliza kuhusu Mungu niulize kwa yule ambaye niliyemsikia na ninayemjua.
Kwa hiyo hapo ndiyo umethibitisha Allah hayupo?Nikikuambia mungu huyo yupo na wote wanaompinga kwa kuabudu miungu mingine kama allah wamepotea, utakubali kua mungu huyo yupo??
Ndio nako elekea, soon utaelewaKwa hiyo hapo ndiyo umethibitisha Allah hayupo?
Sasa nakupa kazi utunge sentensi yenye tamko "kujificha" huku dhamira ikienda kwa Mola,kisha uchambue kwa misingi ya lugha ya Kiswahili na ukawaulize Wataalamu wa Kiswahili wakuonyeshe usahihi wa Sentensi hiyo.
"Mungu wa zuri kajificha"_sentensi sahili
'Mungu wa zuri'_Kiima
Mungu=kiwakilishi
Wa=kiunganishi
Zuri=Nomino
'Kajificha' Kiarifu
Kajificha=kielezi
Haya sema tena nini unataka au nini hujaelewa..?
Sitakanusha wala sitakubali bali nitakuwa kati na kati kwa kuhoji,ili nipate kuujua Ukweli juu ya huyo Jehova.Ikiwa kama kuna mtu akajitokeza akisema kua yehova ndiye mungu wa kweli ambaye yupo na yeyote atakayeabudu miungu mingine amepotoka, utakubali kua mungu huyo yupo???
Mintarafu uhalisia na kila kitu kipo wazi,hapa utatakiwa uthibitishe hilo sio kusema tu kisa umependa kusema.Nikikuambia mungu huyo yupo na wote wanaompinga kwa kuabudu miungu mingine kama allah wamepotea, utakubali kua mungu huyo yupo??
Ukiwafatilia hawa jamaa utaona ya kuwa kilicho wafikisha hapo walipo ni ujinga na kutotumia akili zao inavyotakiwa.Kwa hiyo hapo ndiyo umethibitisha Allah hayupo?
Mintarafu uhalisia na kila kitu kipo wazi,hapa utatakiwa uthibitishe hilo sio kusema tu kisa umependa kusema.
Tunasema kilichoandikwa kimeandikwa na ukweli upo tayari,kwahiyo kubahatisha hakuna nafasi zaidi ya kuleta hoja zako kama wewe unasema ukweli.
Utanihoji vipi?Sitakanusha wala sitakubali bali nitakuwa kati na kati kwa kuhoji,ili nipate kuujua Ukweli juu ya huyo Jehova.
Ajitokeze kwa shida gani? Wewe kama hauamini ni shida zako wewe na si kwamba yeye ana shida na wewe sasa unaposema ajitokeze ili iweje?Nabishana na watu kwa sababu uwezo wao naumudu lakini Mungu wako muweza wa yote vip asijitokeze yeye kila siku anamitoa nyinyi chambo mpaka mnatia huruma humu
Anaesema kipo atatakiwa yeye athibitishe endapo atahojiwa kwanza ila atakae kanusha lile aliloambiwa na wa kwanza,huyu wa pili ndio atakae takiwa kuthibitisha.Kumbe wajibu wa kuthibitha upo mabegani kwa yule anayesema kipo siyo??