Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Utanihoji vipi?

Ukinihoji nikashindwa kuthibitisha yupo utakubali kua yehova hayupo??
Ukishindwa ni ujinga wako na kwanini ushindwe ?

Sitakubali wala sitakanusha mpaka nitakapothibitishiwa ukweli wa hilo.
 
Anaesema kipo atatakiwa yeye athibitishe endapo atahojiwa kwanza ila atakae kanusha lile aliloambiwa na wa kwanza,huyu wa pili ndio atakae takiwa kuthibitisha.
Sasa thibitisha mungu yupo
 
Ukishindwa ni ujinga wako na kwanini ushindwe ?

Sitakubali wala sitakanusha mpaka nitakapothibitishiwa ukweli wa hilo.
Ok tusiende mbali thibitisha mungu yupo
 
Mshahara wa dhambi ni mauti ni mtoto mdogo kazaliwa na kufa kapata mshahara wake kwa dhambi ipi aliyoifanya....?
Hivi pale edeni simba nae alikula tunda maana naye anakufa wakati aliykula tunda na mwanadam
Aaah kwanza inachosha vingine ni uchwara tu
Mungu hakunaga kitu kama hicho popote pale
Good
 
Kwanini useme yupo?
Swali zuri.

Sababu yeye ndio aliyeumba na yeye ndio wa mwanzo asie na chanzo kabla yake na yeye ndio wa mwisho hakuna wa mwisho baada yake.

Anasema Allah aliye juu :

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at Tur : 35 )

Huo ni ushahidi unaonyesha ya kuwa yupo aliyanzisha huu ulimwengu na kuumba na hilo ni swali au changamoto walio pewa wanao mkana.

Nakuiliza swali,wewe sasa,je imekuwaje sisi binadamu tukawepo duniani ? Je tumetokana pasi na kitu au sisi tumejiumba ?

Tuwekeane masharti ambayo tutakubaliana ili huu mjadala uende vizuri.

Upande wangu :
Mimi natumia hoja za kiakili,kimazingira na ufunuo kuthibitisha uwepo wa Mola.

Upande wako : Wewe unajenga hoja kwa kutumia nini ? Hapa naomba uniambie kabisa.

Sharti lingine : Hakuna kukimbia swali wala kuuliza swali pale unapotakiwa kujibu swali la mwenzako. Yaani unajibu swali kwanza kisha ndio unauliza swali. (Unasemaje kuhusu sharti hili ).

Nipo ....
 
Swali zuri.

Sababu yeye ndio aliyeumba na yeye ndio wa mwanzo asie na chanzo kabla yake na yeye ndio wa mwisho hakuna wa mwisho baada yake.
hapa unge hubiri wakati tayari ushathibitisha.

Anasema Allah aliye juu :
Hujathibitisha allah yupo, kivipi useme amesema?

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at Tur : 35 )
mahubiri yaje baada ya uthibitisho

Huo ni ushahidi unaonyesha ya kuwa yupo aliyanzisha huu ulimwengu na kuumba na hilo ni swali au changamoto walio pewa wanao mkana.
ushahidi unaupimaje kujua kua ni kweli?? Bila shaka utatengezeza circular reasons

Nakuiliza swali,wewe sasa,je imekuwaje sisi binadamu tukawepo duniani ? Je tumetokana pasi na kitu au sisi tumejiumba ?
Swali zuri, nini kimekufanya uhisi kua lazima tuwe na sababu iliyotufanya tukawepo duniani kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo???

Tuwekeane masharti ambayo tutakubaliana ili huu mjadala uende vizuri.

Upande wangu :
Mimi natumia hoja za kiakili,kimazingira na ufunuo kuthibitisha uwepo wa Mola.

hoja za kiakili haziegemei kwenye vitabu hususani vitabu vya imani. Jenga hoja nje ya hizo riwaya

Upande wako : Wewe unajenga hoja kwa kutumia nini ? Hapa naomba uniambie kabisa.
najenga hoja kulingana na swali linavyotaka jibu liwe

Sharti lingine : Hakuna kukimbia swali wala kuuliza swali pale unapotakiwa kujibu swali la mwenzako. Yaani unajibu swali kwanza kisha ndio unauliza swali. (Unasemaje kuhusu sharti hili ).

Nipo ....
Kukimbia swali hakuji kwa kuuliza swali linalolenga swali, kukimbia swali ni kuuliza swali lisiloendana na mjadala. Jua kutofautisha hilo kwanza

nilipokuuliza utoe uthibitisho kuonesha mungu yupo halafu wewe badala ya kujibu swali ukaniuliza swali kua kwanini uthibitishe........ Kwaiyo ulikua unakusudia kukimbia swali??
 
hapa unge hubiri wakati tayari ushathibitisha.
Hiyo ni kauli ya kuthibitisha na sio mahubiri mzee. Ulitakiwa upinge kwa hoja ya kielimu,kwamba Mola hajaumba halo ndio tungekuzingatia kama huna hoja wewe unabaki kuwa una dai tu.
Hujathibitisha allah yupo, kivipi useme amesema?
Nimethiibitisha tayari,labda kama hutaki jibu nililo kupa.

Nimesema Allah amesema,sababu huo ni ufunuo toka kwake.

Naendelea .....
 
mahubiri yaje baada ya uthibitisho
Inaonekana hujui maana ya uthibitisho ni nini,hwezi kuthibitisha bila kuwa na marejeo. Ili uone kama sijathibitisha kosoa huo ufunuo.

Mambo marahisi sana.

Naendelea .....
 
Inaonekana hujui maana ya uthibitisho ni nini,hwezi kuthibitisha bila kuwa na marejeo. Ili uone kama sijathibitisha kosoa huo ufunuo.

Mambo marahisi sana.

Naendelea .....

Ufunuo utakosolewa na muumini mwenzako anayeamini habari za ufunuo, ambaye unatofautiana kiimani kwa kukuonesha ufunuo wake anaouamini ambao unapingana na huo wako.

Hujathibitisha mungu yupo na hujaonesha hata dalili
 
ushahidi unaupimaje kujua kua ni kweli?? Bila shaka utatengezeza circular reasons
Pindi unapoafikiana na hali halisi.

Ndio maana nikakuuliza wewe umejiumba ?
Swali zuri, nini kimekufanya uhisi kua lazima tuwe na sababu iliyotufanya tukawepo duniani kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo???
Huu utoto ndio nisio upenda. Jibu kwanza swali kisha uulize maswali yako.

Mimi nilianza kujibu maswali ako kisha nikakuuliza maswali. Kama huu utaratibu huuwezi sema tusipotezs muda.

Yaani nimewadekeza sana na mkashindwa kutumia fursa vizuri.
hoja za kiakili haziegemei kwenye vitabu hususani vitabu vya imani. Jenga hoja nje ya hizo riwaya
Inaonekana hujui Akili ni nini ?

Ufunuo ulikuja kuiweka akili sawa na kupata majibu sahihi.

Mfano nimekuwekea ile aya kula juu,hapo ndipo ulitakiwa kutumia akili kutafakari kile kilicho andikwa kule na uangalie kipo au hakipo ?
najenga hoja kulingana na swali linavyotaka jibu liwe
Huu ni uoga wa kupigwa mfano. Inaonekana huna cha ziada zaidi ya kuanzishiwa.

Hapa ni mwendo wa kuuliza maswali na kujibiwa.

Naendelea ....
 
Hiyo ni kauli ya kuthibitisha na sio mahubiri mzee. Ulitakiwa upinge kwa hoja ya kielimu,kwamba Mola hajaumba halo ndio tungekuzingatia kama huna hoja wewe unabaki kuwa una dai tu.
hiyo ni kauli ya kuthibitisha kwa mtu ambaye anaamini hiyo riwaya

Wewe utaamini kua yehova ndiye mungu wa kweli ikiwa kama kuna verse kwenye biblia imeandika hivyo??

Nimethiibitisha tayari,labda kama hutaki jibu nililo kupa.

hata kujaribu hujaweza
Nimesema Allah amesema,sababu huo ni ufunuo toka kwake.

Naendelea .....
Hujathibitisha allah yupo, umerukia kusema "allah kasema" sasa huyo allah aliyesema unakua umemthibitishia wapi kuonesha yupo??

Habari za ufunuo unazipimaje kujua ni kweli nje ya circular logic??
 
Siku ukiamua kusoma utaelewa hay a mambo mzee.

Wenzako tuliacha kazi tukafanya kazi.

Ila pale uliposema Shahawa sio Manii,nikaona sina haja ya kuendelea kujadiliana na wewe,unanipotezea muda huu ujinga sijui unautoa wapi mzee ?
Ahahahahaaaaha kama ungekuwa msomi asa ata siku moja usingesema huu upuuzi wako kuwa shahawa( Semen) ndio manii( Sperm), labda nikufunze jambo wewe na wenzako wengi msiolewa sayansi ya mambo haya " manii yapo ndani ya shahawa " acha utoto elimika wewe kama lugha ya kiingereza inakushinda basi jaribu ujinga
 
Hahaha...

Concept ya "time" naona unaikimbia..

Una haya kwenye ufahamu wako!

Eidha! Uelewa wako wa kuelewa ni mdogo! Au unafanya makusudi! Au hauna akili!

Kama yote hayo unayo, nithibitishie.
Acha kukimbia kimbia eleza unachotaka kueleza upewe majibu
 
Ufunuo utakosolewa na muumini mwenzako anayeamini habari za ufunuo, ambaye unatofautiana kiimani kwa kukuonesha ufunuo wake anaouamini ambao unapingana na huo wako.

Hujathibitisha mungu yupo na hujaonesha hata dalili
Kukosa maarifa ni ujinga uliochipa mipaka.

Nilikuwekea aya,nikakuuliza maswali hukujibu,ajabu bado unasema hujathibitishiwa.
 
Ajitokeze kwa shida gani? Wewe kama hauamini ni shida zako wewe na si kwamba yeye ana shida na wewe sasa unaposema ajitokeze ili iweje?

Nakushangaa wewe kutumia nguvu nyingiiiingi kusema kitu hakipo,hivi kweli unaweza kutumia nguvu zako kama kubishana na mtu anayesema Nyerere ndio rais wa Tz hali ya kuwa inajulikana Nyerere hayupo?
Shida za kujitokeza ni nyingi atawasaidia ata bokoharam wanaodai ni wafuasi wa Allah waache kujivika mabomu , yapo mengi anatakiwa aje awaambia wafuasi wake wayafanye , ataondoa ugomvi wa suni na shia , sasa yeye anasubir mpaka wafe ndio akawachome wakati watu awaelewi huku kipi ni kipi ahahahhahahahaha
 
Kukosa maarifa ni ujinga uliochipa mipaka.

Nilikuwekea aya,nikakuuliza maswali hukujibu,ajabu bado unasema hujathibitishiwa.
Kwahiyo AYA ndio uthibitisho kuwa Mungu yupo ,na mimi nakupa AYA kuwa YESU kasulubiwa utakubali hilo jambo ?
 
Pindi unapoafikiana na hali halisi.

hali halisi we unaijuaje?
Ndio maana nikakuuliza wewe umejiumba ?

nikakazia, nini kimekufanya ufikiri kua ni lazima tuwe tumeumbwa?? Kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo??

Huu utoto ndio nisio upenda. Jibu kwanza swali kisha uulize maswali yako.
utoto huu we hujaufanya??

Jibu swali upate kujua jibu lako

Mimi nilianza kujibu maswali ako kisha nikakuuliza maswali. Kama huu utaratibu huuwezi sema tusipotezs muda.
Hujajibu maswali yangu niliyokuuliza Miongoni mwa maswali ambayo hujayajibu ni pamoja na uthibitisho kuonesha mungu yupo. Hujajibu swali hili zaidi ukaongeza swali kua kwanini uthibitishe

Yaani nimewadekeza sana na mkashindwa kutumia fursa vizuri.
Leo siachi kitu na quote hadi porojo za mlevi

Inaonekana hujui Akili ni nini ?
Kushindwa kwako kuthibitisha mungu yupo kunaonesha huna akili

Ufunuo ulikuja kuiweka akili sawa na kupata majibu sahihi.

Sijauliza ufunuo ulikuja kwa ajili ya nini, naona kuna trend ya kukwepa maswali ya muhimu na kuchagua swali usiloulizwa. Hujathibitisha mungu yupo

Mfano nimekuwekea ile aya kula juu,hapo ndipo ulitakiwa kutumia akili kutafakari kile kilicho andikwa kule na uangalie kipo au hakipo ?
Kwaiyo huna akili ya kutoa hoja nje ya hiyo riwaya kuonesha mungu yupo??

Kama kila aya huongea ukweli, utaamini kila aya kutoka katika kila kitabu kua kilichoandikwa ni kweli??

BTW hujathibitisha mungu yupo

Huu ni uoga wa kupigwa mfano. Inaonekana huna cha ziada zaidi ya kuanzishiwa.

Hapa ni mwendo wa kuuliza maswali na kujibiwa.

Naendelea ....

Muoga ni yule anayeogopa kujenga hoja nje ya riwaya ya kidini, kwasababu anaogopa nje ya hapo ataumbuka

Kwa uoga wako mpaka sasa hujathibitisha mungu yupo
 
Kukosa maarifa ni ujinga uliochipa mipaka.

Nilikuwekea aya,nikakuuliza maswali hukujibu,ajabu bado unasema hujathibitishiwa.

Kivipi ni jibu maswali ambayo hayanihusu??

nimekuambia

Ufunuo utakosolewa na muumini mwenzako anayeamini habari za ufunuo, ambaye unatofautiana kiimani kwa kukuonesha ufunuo wake anaouamini ambao unapingana na huo wako.

Hujathibitisha mungu yupo
 
Back
Top Bottom