marcs
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 1,066
- 573
Mungu anajificha kwa binadamu aliyemuumba anaogpa nn vita au nn
Wewe kama ntakuwa sijakosea, utakuwa ni mkiristo. Sijakujibu kwa sababu umeuliza swali, nimekujibu kisahih kabisa.
Sasa ngoja nikwambie kwanini Mungu hajajificha na ni kwamba hatuna uwezo wa kumuona;
Quran 6:103 Allaha anatwambia ivi : 103. "Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari " na ndio hatumuoni.