Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Na hapo ndipo unapokosea! Yaani laiti ungelitumia akili kidogo tu ungelinielewa.

Binadamu yupo ndani ya uzio unaoitwa muda. Hakuna chochote atakachokijua zaidi ya experience aliyopitia.

Hatua ya utungaji mimba kwa binadamu upo ndani ya muda! Hatua ya ukuaji wa binadamu tangu kuwa mtoto mpaka mtu mzima yapo ndani ya muda.

Hiyo hali/hatua ya matukio juu ya matukio ambayo kwa ujumla yanachukua mwenendo wa maisha ya binadamu yapo ndani ya muda.

Hayo yoooote unayoyaandika sijui utakula pumba ngapi za mchele yapo ndani ya muda.

Mungu yupo nje ya ring/circle ya muda! Hiyo inamfanya haoni mambo hatua kwa hatua au kipindi kwa kipindi au tukio baada ya tukio. Mungu kwake kuyaona hayo matukio baada ya matukio yaliyobeba mwenendo mzima wa maisha ya binadamu, Mungu anayaona kwa wakati mmoja tu! Kwa sababu yupo nje ya muda!

Kwa hiyo mwenendo wako woooote wa maisha, utakachofanya na ambacho hutokifanya tayari Mungu alishaona kiona. Kwa hiyo pre destiny yako yote Mungu anayo.

Kwa hiyo Mungu kuijua pre destiny yako haimaanishi kwamba ameshakuhukumu, hapana! Bali alishakuona kabla mwenendo wako wa maisha utakavyokua.
Sio kuijua pre destiny , Mungu matendo yote anayajua na ameyaandika utakayoyafanya yote , hakuna utakachofanya nnje ya kile alichokiandika sasa unapoangaika kutafuna maneno ndio nashangaa kweli , Mtume alisema kalamu imeandika na wino umekauka ata ufanye nini uwezi futa ,ndio maana sisi tunaishi maisha yetu ayo ndio tulioandikiwa , hatuwezi kuishi kinyume na kilichoandikwa
 
ahahahaaahhaha ilo jibu umeliona wewe tu
Subiri waje wenye akili timamu watakuonyesha jibu liko wapi.

Jambo nililo liona na huu ndio utakuwa utaratibu wangu sasa,ni kuwa nimeona tunawadekeza sana na hamtumii akili zenu kufikiri bali mnakariri yale walio fikiri wakubwa zenu kichwa mchunga.

Sababu najua kabisa laiti mkitumia akili zenu kufikiri mtatoka huko mlipo. Sasa soma humo kuna jibu la swali lako.

Humu kuna tabia ya kijinga sana watu wanayo,unakuta mtu unamjibu swali lake leo na anakimbia baada ya siku kadhaa anarudi tena kuuliza swali lile lile. Huu utoto unatakiwa uishe.
 
Aliekujibu mwengine lawama unanipa mimi , hii tabia acha mara moja , tunapotaka majibu ni lazima ujibu kama hauna jibu kaa kimya,sio unaleta maelezo kama pori la kujificha udhaifu wako kwenye kujibu maswali ya watu
 
Jibu gani hujapewa hapo ? Sema.
 
Jibu gani hujapewa hapo ? Sema.
Vip Mungu wenu amiambie mtubu mara mswali wakati anafahamu fika kuwa wewe Zuri ata utubu utaingia motoni kama alivyoandika toka ujazaliwa ? uoni kuwa Mungu wenu anafanya utoto mwingi sana
 
Vip Mungu wenu amiambie mtubu mara mswali wakati anafahamu fika kuwa wewe Zuri ata utubu utaingia motoni kama alivyoandika toka ujazaliwa ? uoni kuwa Mungu wenu anafanya utoto mwingi sana
Ndio unasema hili swali sijakujibu ? Ujinga mzigo sana.

Nilikwambia kujua kwake Allah hakukuzuii wewe kufanya jambo unalotaka,pili nikasema wewe na mimi hatujui kama ni wa motoni au peponi ?

Sasa nakuuliza,swali ujibu maswali.

1. Unajua kabisa ukifanya mema unaenda peponi na ukifana maovu unaenda motoni. Nani anaekuzuia wewe usifanye mambo mema ?

2. Pili,nikakwambia toba ni kwa watu wanao muamini na ambao wameamua kumtii,hawa lazima wamtii,wewe usid mtii hayakuhusi ila utalipwa stahiki sababu kila kitu kipo wazi. Unakubali kama una hiari ?
 
Unasemaje unaweza kufanya jambo unalotaka wakati mambo yote yameshaandikwa kabla ata wewe ujataka ?hakuna unachotaka labda ukafute kilichoandikwa na Mungu wako na uweke chako acha vituko

Ama kuhusu maswali yako , majibu ni haya kwa kila swali
1.Kufanya mema au mabaya ni kujisumbua tu , Mungu alichokuandikia ndio kitakupeleka motoni au peponi kama alivyoandika toka zamani , sio blah blah zako
2.Utubu au usitubu kama alishaandika wa peponi hakuna wa kukuzuia , yaani matendo yenu ayabadilishi chochote katika kile kilichoandikwa
 
Unasemaje unaweza kufanya jambo unalotaka wakati mambo yote yameshaandikwa kabla ata wewe ujataka ?
Huu ujinga mwingine pia ukisoma kitabu cha Qadari na Qadhaa katika somo la Tawheed,tuna ambiwa ya kuwa Kalamu iliandka makadirio ya kila kitu,mintarafu mambo ya kiulimwengu sio matendo ya mja yanarekodiwa na malaika wa kuandika matendo yako pale yanapotokea. Hili unatakiwa kulijua.
 
Unambishia mtume wako kuwa matendo yote yameandikwa ? halafu unataka kututhibitishia kumbe matendo ya mja Mungu wako akuyaandika anasubiri malaika amletee ?
 
Badala ya kujibu swali unaanza maelezo wala yasiyo takiwa
1 . Swali ni hili , vip Mungu wenu amiambie mtubu mara mswali wakati anafahamu kabisa kuwa ni wakina nani wataingia peponi na wakina nani wataingia motoni ? wewe uoni kuwa Mungu wako anafanya utoto
Swali hili halijibiki
 
Na mimi nimekuuliza swali nataka majibu. Kama huwezi kiri kwamba umeshindwa kuthibitisha Mungu hayupo ili nami nikuthibitishie kua yupo.
Aliyeanza kuuliza swali la kudai uthibitisho ni nani??

Hii mijadala hamuiwezi imewazidi kimo, mnaruka ruka kama bisi
 
Unambishia mtume wako kuwa matendo yote yameandikwa ? halafu unataka kututhibitishia kumbe matendo ya mja Mungu wako akuyaandika anasubiri malaika amletee ?
Siku ukiamua kusoma utaelewa hay a mambo mzee.

Wenzako tuliacha kazi tukafanya kazi.

Ila pale uliposema Shahawa sio Manii,nikaona sina haja ya kuendelea kujadiliana na wewe,unanipotezea muda huu ujinga sijui unautoa wapi mzee ?
 
Aliyeanza kuuliza swali la kudai uthibitisho ni nani??

Hii mijadala hamuiwezi imewazidi kimo, mnaruka ruka kama bisi
Tatizo mnakariri!

Ni ajabu swali likajibiwa kwa swali?

Mathalani ukijibu utapungukiwa na nini?

Acha kukariri! Wewe thibitisha Mungu hayupo tutaendelea.
 
Sio kuijua pre destiny , Mungu matendo yote anayajua na ameyaandika utakayoyafanya yote , hakuna utakachofanya nnje ya kile alichokiandika sasa unapoangaika kutafuna maneno ndio nashangaa kweli , Mtume alisema kalamu imeandika na wino umekauka ata ufanye nini uwezi futa ,ndio maana sisi tunaishi maisha yetu ayo ndio tulioandikiwa , hatuwezi kuishi kinyume na kilichoandikwa
Hahaha...

Concept ya "time" naona unaikimbia..

Una haya kwenye ufahamu wako!

Eidha! Uelewa wako wa kuelewa ni mdogo! Au unafanya makusudi! Au hauna akili!

Kama yote hayo unayo, nithibitishie.
 
hivi utanipa tabu ya kwenda mbele na kurudi, ningekushauri uripoti hilo tatizo ili tuendelee vizuri
 
Kwa nini hakukwambie siku ya kifo chako we si mja wake au
Ndio Mungu anajua siku ntakayokufa, sababu ya kifo changu, mahala ntakapokufa. Mungu wangu anajua kama mimi ntakwenda peponi au motoni.
 
Back
Top Bottom